Wachawi usiwakimbie, pigana nao mpaka wakukimbie

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,824
18,568
Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa silaha za kiroho, pambana nao katika ulimwengu wa roho mpaka uwashinde.

Siku zote nguvu ya mchawi inatoka kwa shetani na malaika zake waovu katika namna mbalimbali kama mapepo, majini, mizimu, n.k. Mchawi anafanya ushirika na nguvu za giza dhidi ya wanadamu wenzake. Mchawi anafanya maagano na viumbe vya giza, ni mshirika wa nguvu za giza. Basi ukijua kuwa nguvu za mchawi zipo kwenye ushirika wake na mapepo, majini, nk ufanyapo vita na wachawi kati ya maeneo ya kupiga ni huo ushirika wao na giza. Rusha makombora ya sala hapo, vuruga lugha yao, leta confusion kati yao na hata kama unaweza, wachonganishe wasielewane.

Wachawi na washirikina hufanya maagano na nguvu za giza. Maagano hayo hufanyika na kusilibwa na kafara, zaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama nafaka, maziwa, pombe, etc kwa malengo madogo madogo, au kafara kubwa za damu za wanyama kuku, paka, mbuzi, etc au hata kafara za damu za wanadamu kwa malengo ya juu zaidi. Unapopambana na wachawi kati ya maeneo ya kimkakati ya kushambulia ni kafara zao ambazo kila wakati hulia na kukushtaki, basi tupa bomu moja kubwa linaloitwa DAMU YA YESU kwenda kusambaratisha vikafara vyao kwani hawajaweza na kamwe hawataweza kuwa na bomu kubwa kama hilo kwani hakuna kafara kubwa kama aliyoitoa Bwana Yesu, kafara ya uhai wake mwenyewe, uhai wa MWANA WA PEKEE WA MUNGU, na hayupo mwingine anayeweza kukubalika mbele za Mungu kama Yesu Kristo!

Kafara hutolewa kwenye MADHABAHU, basi baada ya kuangamiza kafara zao zinazolia lia kila wakati dhidi yako mbele ya shetani, geukia sasa madhabau zao. Madhabahu ndipo pale wachawi na washirikina wanapotolea kafara zao, hapo ndipo wanapokutana na miungu yao. Rusha MOTO WA ROHO MTAKATIFU kuangamiza madhabahu za kichawi katika mwili wako, ardhi yako, nyumba yako, kazi yako, masomo yako, mali zako, chochote kile chako. Bila kuchelewa mwaga DAMU YA YESU kwenye kila madhabahu za wachawi zilizojengwa dhidi yako, shambulia kila upande, washambulie wachawi katika ROHO na katika MWILI kwani wanafanya kazi kote kote.

Fungua vifungo vya kichawi walivyokufunga navyo, kimavi, mikosi, nuksi, chuma ulete, magonjwa, umaskini, kukataliwa, kucheleweshwa, na hata mauti. Piga vifungo vyote hivyo kwa makombora ya DAMU YA YESU na MOTO WA ROHO MTAKATIFU. Ukipenda waweza kuwarudishia hayo madhila yote kwani yanatoka kwao na wameyagaramia kwa vikafara vyao! Ni mali yao, warudishie!

Sambaratisha kila MAAGANO ya kichawi yaliyofanywa dhidi yako. Mchawi alogapo hufanya maagano na shetani juu ya jambo fulani atakalo. Labda ni afya yako au uchumi wako, basi TANGUA hayo maagano kwa JINA LA YESU na kwa DAMU YA YESU. Futa hayo maagano kwa damu ya Yesu, yabatilishe kwa JINA LA YESU!

Wachawi watazidiwa tu hawana jinsi mbele ya NGUVU na MAMLAKA ya Yesu Kristo! Hakuna namna watashinda labda wewe uamue kuwaacha washinde, hivyo wapige wachawi mpaka wakimbie. Ukipenda kuwakimbiza kutoka kwenye mtaa wako fanya hivyo hadi wahamie mitaa ya mbali.

Upiganapo vita jua kuwa vita hiyo sio yako! Ni vita ya Yesu Kristo na ALISHAISHINDA VITA hiyo pale MSALABANI. Hivyo weka msalaba, yaani mweke YESU KRISTO mbele, PIGANA KWA JINA LA YESU, na acha ushindi wake uingie kwenye maisha yako. Ondoa woga wote, uwapo vitani, vaa ujasiri na NENO LA MUNGU.

Vita ya Mkristo ni kali na ni ya maisha yote! LAKINI fahamu kuwa TULISHASHINDA vita hii kupitia KIFO NA UFUFUKO WA YESU KRISTO, yatupasa tu kuonesha IMANI yetu na kucheza katika nafasi yetu ili ushindi huo udhihirike katika maisha yetu.

Jua kuwa adui atapenda kulipiza kisasi hivyo jiweke tayari na kuwa macho wakati wote, USIOGOPE, kuwa tayari kupambana kila wakati kama hutaki kuwa mtumwa na mhanga wa shetani. Baki katika utakatifu siku zote kwani wachawi kwa kuoneshwa na mapepo watakusubiri siku utakapokuwa umepoteza UTUKUFU WA MUNGU kupitia DHAMBI ili wajilipize kisasi.
 
Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa silaha za kiroho, pambana nao katika ulimwengu wa roho mpaka uwashinde.

Siku zote nguvu ya mchawi inatoka kwa shetani na malaika zake waovu katika namna mbalimbali kama mapepo, majini, mizimu, n.k. Mchawi anafanya ushirika na nguvu za giza dhidi ya wanadamu wenzake. Mchawi anafanya maagano na viumbe vya giza, ni mshirika wa nguvu za giza. Basi ukijua kuwa nguvu za mchawi zipo kwenye ushirika wake na mapepo, majini, nk ufanyapo vita na wachawi kati ya maeneo ya kupiga ni huo ushirika wao na giza. Rusha makombora ya sala hapo, vuruga lugha yao, leta confusion kati yao na hata kama unaweza, wachonganishe wasielewane.

Wachawi na washirikina hufanya maagano na nguvu za giza. Maagano hayo hufanyika na kusilibwa na kafara, zaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama nafaka, maziwa, pombe, etc kwa malengo madogo madogo, au kafara kubwa za damu za wanyama kuku, paka, mbuzi, etc au hata kafara za damu za wanadamu kwa malengo ya juu zaidi. Unapopambana na wachawi kati ya maeneo ya kimkakati ya kushambulia ni kafara zao ambazo kila wakati hulia na kukushtaki, basi tupa bomu moja kubwa linaloitwa DAMU YA YESU kwenda kusambaratisha vikafara vyao kwani hawajaweza na kamwe hawataweza kuwa na bomu kubwa kama hilo kwani hakuna kafara kubwa kama aliyoitoa Bwana Yesu, kafara ya uhai wake mwenyewe, uhai wa MWANA WA PEKEE WA MUNGU, na hayupo mwingine anayeweza kukubalika mbele za Mungu kama Yesu Kristo!

Kafara hutolewa kwenye MADHABAHU, basi baada ya kuangamiza kafara zao zinazolia lia kila wakati dhidi yako mbele ya shetani, geukia sasa madhabau zao. Madhabahu ndipo pale wachawi na washirikina wanapotolea kafara zao, hapo ndipo wanapokutana na miungu yao. Rusha MOTO WA ROHO MTAKATIFU kuangamiza madhabahu za kichawi katika mwili wako, ardhi yako, nyumba yako, kazi yako, masomo yako, mali zako, chochote kile chako. Bila kuchelewa mwaga DAMU YA YESU kwenye kila madhabahu za wachawi zilizojengwa dhidi yako, shambulia kila upande, washambulie wachawi katika ROHO na katika MWILI kwani wanafanya kazi kote kote.

Fungua vifungo vya kichawi walivyokufunga navyo, kimavi, mikosi, nuksi, chuma ulete, magonjwa, umaskini, kukataliwa, kucheleweshwa, na hata mauti. Piga vifungo vyote hivyo kwa makombora ya DAMU YA YESU na MOTO WA ROHO MTAKATIFU. Ukipenda waweza kuwarudishia hayo madhila yote kwani yanatoka kwao na wameyagaramia kwa vikafara vyao! Ni mali yao!

Sambaratisha kila MAAGANO ya kichawi yaliyofanywa dhidi yako. Mchawi alogapo hufanya maagano na shetani juu ya jambo fulani atakalo. Labda ni afya yako au uchumi wako, basi TANGUA hayo maagano kwa JINA LA YESU na hata kwa DAMU YA YESU. Futa hayo maagano, yabatilishe kwa JINA LA YESU!

Wachawi watazidiwa tu hawana jinsi mbele ya NGUVU na MAMLAKA ya Yesu Kristo! Hakuna namna watashinda labda wewe uamue kuwaacha washinde, hivyo wapige wachawi mpaka wakimbie. Ukipenda kuwakimbiza kutoka kwenye mtaa wako fanya hivyo hadi wahamie mitaa ya mbali.

Upiganapo vita jua kuwa vita hiyo sio yako! Ni vita ya Yesu Kristo na ALISHAISHINDA VITA hiyo pale MSALABANI. Hivyo weka msalaba, yaani mweke YESU KRISTO mbele, PIGANA KWA JINA LA YESU, na acha ushindi wake uingie kwenye maisha yako. Ondoa woga wote, uwapo vitani, vaa ujasiri na NENO LA MUNGU.

Vita ya Mkristo ni kali na ni ya maisha yote! LAKINI fahamu kuwa TULISHASHINDA vita hii kupitia DAMU YA YESU, yatupasa tu kuonesha IMANI yetu na kucheza katika nafasi yetu ili ushindi huo udhihirike katika maisha yetu.

IMG-20230513-WA0117.jpg
 
Aminaa
 
Watu kama nyie huwa hamuishi kugombana na wenzenu. Mara umuhisi jirani yako mchawi, mara uhisi mfanyakazi mwenzako mchawi. Achana na hizi mambo.
 
Back
Top Bottom