Nguo zenye rangi ya Jeshi

Nguo zenye rangi ya Jeshi

Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.

Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu

Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi

Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Sheria zingine zakiboya sana na hii inaonesha serikali ipo insecure.

Marekani ni ruhusa kuvaa sare za jeshi isipokuwa usitumie sare hizo kufanya fraud tu.
 
Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.

Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu

Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi

Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
lakini si amesema sio sare ya jeshi letu ni jeshi la China
 
Kuna mdada mmoja alikutwa mtaani kavaa kipedo chenye rangi za kombati za jeshi wakamvua kibabe. Askari magereza nao waliwahi kuleta za kuleta kwa makonda wa daladala wakidai wamewaiga sare zao. Polisi nao waliwahi kuliamsha dude wakipiga mkwara sare zao zisivaliwe na raia hata kwenye sanaa
 
Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Wewe ni wale wanajeshi wa zamani form four failure. Mlikuwa hamna akili.... Wa siku hizi wameenda shule hawana hata muda na huo upumbavu. Nyie mlikuwa mnachaguliwa kwa kigezo cha kutokuwa na akili. Ndo mnawekwa front line. Mkafe kwanza.....
 
Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Wewe ni wale wanajeshi wa zamani form four failure. Mlikuwa hamna akili.... Wa siku hizi wameenda shule hawana hata muda na huo upumbavu. Nyie mlikuwa mnachaguliwa kwa kigezo cha kutokuwa na akili. Ndo mnawekwa front line. Mkafe kwanza
 
Sheria inakataza kuvaa sare za jeshi au polisi kama wewe sio muhusika katika hizo kazi. Japo sheria haijaweka wazi ni sare za jeshi lipi au polisi wa wapi. Kwa mantiki hiyo tuna-assume ni sare za jeshi lolote lile. Hata hivyo, mwanajeshi hana mamlaka ya kukuwajibisha kisheria. Ila anao wajibu wa kukupeleka kituo cha polisi kwaajili ya taratibu nyingine za kisheria. Wanajeshi wengi hasa Afrika hujisikia fahari kuonyesha ubabe wao mbele ya raia na hujihisi imara zaidi wanapoogopeka. Ukitaka kuonekana una nguvu kuliko akili unaishia kuonekana mjinga tu. Weledi unahitajika zaidi.
 
Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.

Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu

Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi

Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Mbona Mbowe ana magwanda ya migambo
 
lakini si amesema sio sare ya jeshi letu ni jeshi la China
Nimesema " yenye kufanana" rangi nyingi za majeshi ya nchi mbalimbali duniani na mashono yake ni universal. Hivyo kama wewe ni raia ,hujacheza hata mgambo, miguu yako yote ni ya kushoto na imepinda,, achana kabisa na hizo nguo za mabaka mabaka bila kujali ni ya nchi gani
 
Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.

Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu

Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi

Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Kama zinafana na jeshi la kolombia
 
Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Si inategemeana na jamaa mwenyewe,kama atakuaje,kuna wananchi wengine ni watata hasa askari akiwa peke yake.
 
Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.

Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu

Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi

Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Katika umri wangu huu nimeshuhudia sana askari magereza, Polisi, uhamiaji, zimamoto wanapenda sana kuvaa nguo zenye rangi za JWTZ wakiwa nje ya majukumu, ila sijawahi kuwaona wakiwa nje ya kazi wamevaa nguo zinazofanana na mgambo, JK hata za zile magereza hivi kwa nini wakivaa za JWTZ wanajiona superior?
 
Back
Top Bottom