pilipili usiyoila yakuwashia nini!?
Mi nadhaji zinawapendeza zaidi wale wenye "vijungu vya uchokozi" kama beibe nasty na wengineo. Ni kweli zimekuwa nyingi sana mitaani
We koma! Yani zinahamasisha mbaya,tena ukuye ndo kaichomeka kwenye chupi na kupandisha upande mmoja dizain flan inye inavibrate unaweza gongwa na gari au shingo kupinda
wewe unaangalia nguo badala ya figure yake!! acha utani bwana, wanaume tunaangalia aliyevaa na sio alichovaa.
Inaonekana Huko Rumande Lulu kunampenda maana anazidi kunawiri shavushavu au ndio kule kushiba.............Umofia kwenu wana Chitchat!!
Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo malonyalonya khaaaaaaa yanaboaaa kama yeboyebo vile.
Angalia Nguo ALiyovaa Lulu Michael
![]()
wewe unaangalia nguo badala
ya figure yake!! acha utani bwana, wanaume tunaangalia
aliyevaa na sio
alichovaa.