Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Chini ni Vituko vya aliyekuwa Waziri wao Mkuu.....
Italy's PM Silvio Berlusconi fakes a doggy style with unaware Belgian policewoman in Brussels - YouTube
![]()
huyu ni katibu wa baraza la mawaziri Italia bikini nje nje akitia saini baadhi ya karatasi huu utamaduni ungelikuwa hapa kwetu ni kiongozi gani ungelitamani ainame na kabikini kama mama huyu?twende zetu wanajamvi.
Kwa nini yuko mwanamke peke yake hapo? Huu ni unyanyasaji wa kijinsia. Nahisi hata mpigaji picha atakuwa Mwanamume!
Mkuu Safari,
Huoni kuwa hapo ni ULAYA? Una uhakika kuwa Mwanamke ni MMOJA? Unaweza kushangaa sasa huyo Mama ana GIRL FRIEND au MKE WAKE na hao Madume unawaona, Wana Ma BOYFRIEND wao au WAUME ZAO.
Uwe Mwangalifu sana dunia ya leo. Haya, ELLEN huyoo hapo chini na Mwaka huu ndiyo aliongoza Oscar ya USA, akiwa na Mke wake.
Kwa Italy, Wazee wa Bunga Bunga, ni kitu cha kawaida. Kuna Mbunge mmoja anaitwa NONI au NINO, nimesahau, alishawahi kuwashambulia chama cha Upinzani kwa kuwaita nyie Di*k heads. Watu hawakuamini masikio yao na hiyo ni Bungeni. Halafu mnamshangaa Kudadadadeki na Vimatusi vyake uchwara.....
Chini ni Vituko vya aliyekuwa Waziri wao Mkuu.....
Italy's PM Silvio Berlusconi fakes a doggy style with unaware Belgian policewoman in Brussels - YouTube
Duh!sipati picha ingetokea hapa kwetu