Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,750
- 18,477
Halafu watu wanashangaa Rais Samia anaposema viatu vya Magufuli havinitoshi!! Hivyo ndiyo viatu vyenyeweKumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.