Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Unajua kuna watu humu jukwaani ukiwaeleza matukio ya Mfalme wa Beirut wanakataa wanasema eti chuki binafsi sijui eti utakuwa Mhujumu nk
Lakini laiti wangekuwa wanaona yanayofanywa na yule bwana nyuma ya pazia kwa kutoa maelekezo hakika wengi wenu mtapigwa na butwaa kama sio kuzimia kabisa... Ni maajabu na unyama wa hali ya juu.. Watu wamepoteza maisha kwa stroke / BP kwa mkono wake..
Ngoja niwape kisa kimoja alichokifanya mwaka 2017.... Kuna bwana mmoja anamiliki semi trailer kama 50 hivi.. Mfanyabiashara wa muda mrefu
Sasa kulitokea mzozo wa wamiliki wa malori kipindi cha nyuma kuhusu kero za mizani kwamba kuna rushwa sana..
Lakini kulikuwa na matatizo ya faini kubwa sana wanalipishwa.. Sasa Mfalme alikuwa Waziri wa Ujenzi akawaambia faini hizo ni ndogo na akalazimisha kupitisha sheria kali sana ndogo ndogo kuhusu wamiliki wa Malori.
Huyo mfanyabiasha pamoja na wenzao wakaenda kwa Pinda kipindi hiko ni PM.. Busara ikatumika mambo yakatatuliwa mgogoro ukaisha..
Kumbe katika vikao vya usuluhishi Mfalme alimnote yule bwana kwakuwa alikuwa anatoa hoja sana ambazo yeye kama waziri alionekana anaonea..
Alipopata ufalme yule Mfanyabiashara alipata cha mtema kuni.. 2017 alinyooshwa semi trailer 10..yaani zilitaifishwa..na jamaa alikaa kimya ili awe salama.. Maana alijua nikijifanya mjuaji nitapotea humu Duniani
 
Yaani kwenye haya maelezo yako ya kufafanua habari za huyo mfalme wa Beiruti kama alivyo muelezea mtoa mada, umeharibu tu hapo kwenye neno:-

'Huyo Mfanyabiashara pamoja na wenzao wakaenda kwa Pinda kipindi hiko ni PM...' Kwingine kote ulipatia na binafsi nilikuelewa vizuri. Kasoro hapo tu. Kama vipi unaweza kurekebisha.
 
Utashangaa wajinga flani wanasifu wauaji wa watu wasiostahili kuuwawa maana hawakuwa na hatua.
Mfalme wa Beiruti tayari, Mungu mwenyewe atakuwa na mpango na wengine waliodhulumu uhai wa innocent citizens.
Mbona aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani.sasa ni waziri wa fedha.
KARMA NI UONGO?
 
Maisha ya binadamu aliyezaliwa na mwanamke Ni miaka sabini, ikizidi Ni miaka sabini na Saba.
Wakati mfalme wa Beiruit anafanya haya alikua sana sana amebakisha miaka kumi ya ku enjoy.
Starehe ya miaka kumi inakufanya ujipalilie Moto jehanam ya miaka thenashara?
 
Wauaji huwa wanasahau kama na wao ni marehemu wanaotembea?
Kama Mungu hajapenda hata utembee uchi Ni bure tu. Yule gavana wa Chekoslovakia alimimina risasi magazine nzima na ushee lkn Mungu alisema muda niliompangia dogo kuishi duniani bado.
When Jesus say YES, nobody can say no.
 
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,

Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,

Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,

Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,

R.I.P kamandaa
Rest In Peace Ben Saanane
Rest in hell Dikteta Mwendakuzimu
 
Mwedawazimu alikua na kichaa kikali

Ndio Tabia za Walebanon hizo hawataki ushauri na wanaujuaji
Kuna mtu alimshauri zile amonite walizozikarisha pale bandarini ni hatari ila Kwa ukatili wake akawa anawapoteza mwingine akapigwa risasi zilizojaa full magazine mchana kweupe lakini yule mtu akasurvive kimiujiza,
Kutokana na ubishi zile amonite zikaripuka pale bandarini Beirut na kumwangamiza na yeye now ashakua Mwendakuzimu!

Ujuaji na roho mbaya mbele kiza
Haya Leo Yu wapi?
 
Mfalme wa Beirut alitoa amri kijana mkosoaji aletwe kwenye jumba. Haraka sana wafanyakazi wakamtafuta na kumpeleka.

Alipoingia kwenye jumba kijana akamkuta mfalme amefura mithiri ya chatu.

Ndipo mfalme kwa mkono wake akainua akamnyooshea kijana mguu wa kuku na kumpeleka peponi.
Aiseeh
 
Unaua mtu kisha nae unakufa inasaidia nini sasa,sio KILA koo damu ya familia zao ni za kutoa kafara zingine ni lzm ikitoka damu lzm irudi damu ya kufidia damu yao.
Huwezi ukakosoa uumbaji na ubaki salama
 
Unajua kuna watu humu jukwaani ukiwaeleza matukio ya Mfalme wa Beirut wanakataa wanasema eti chuki binafsi sijui eti utakuwa Mhujumu nk
Lakini laiti wangekuwa wanaona yanayofanywa na yule bwana nyuma ya pazia kwa kutoa maelekezo hakika wengi wenu mtapigwa na butwaa kama sio kuzimia kabisa... Ni maajabu na unyama wa hali ya juu.. Watu wamepoteza maisha kwa stroke / BP kwa mkono wake..
Ngoja niwape kisa kimoja alichokifanya mwaka 2017.... Kuna bwana mmoja anamiliki semi trailer kama 50 hivi.. Mfanyabiashara wa muda mrefu
Sasa kulitokea mzozo wa wamiliki wa malori kipindi cha nyuma kuhusu kero za mizani kwamba kuna rushwa sana..
Lakini kulikuwa na matatizo ya faini kubwa sana wanalipishwa.. Sasa Mfalme alikuwa Waziri wa Ujenzi akawaambia faini hizo ni ndogo na akalazimisha kupitisha sheria kali sana ndogo ndogo kuhusu wamiliki wa Malori.
Huyo mfanyabiasha pamoja na wenzao wakaenda kwa Pinda kipindi hiko ni PM.. Busara ikatumika mambo yakatatuliwa mgogoro ukaisha..
Kumbe katika vikao vya usuluhishi Mfalme alimnote yule bwana kwakuwa alikuwa anatoa hoja sana ambazo yeye kama waziri alionekana anaonea..
Alipopata ufalme yule Mfanyabiashara alipata cha mtema kuni.. 2017 alinyooshwa semi trailer 10..yaani zilitaifishwa..na jamaa alikaa kimya ili awe salama.. Maana alijua nikijifanya mjuaji nitapotea humu Duniani
Jamaa alikuwa anafanya mambo ya uonevu na kikatili sana
 
Mfalme wa Beirut alitoa amri kijana mkosoaji aletwe kwenye jumba. Haraka sana wafanyakazi wakamtafuta na kumpeleka.

Alipoingia kwenye jumba kijana akamkuta mfalme amefura mithiri ya chatu.

Ndipo mfalme kwa mkono wake akainua akamnyooshea kijana mguu wa kuku na kumpeleka peponi.
Safi sana!

Kale ka kijana kalikuwa kajinga
 
Ni wakati sasa ukweli ujulikane, familia nayo ipate tulizo la kiakili kwa kujua kilichotokea
 
Back
Top Bottom