Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Niliamua nisijibu hiyo reply. She is trying too hard to prove herself wrong, kiukweli hata yeye anamkubali lakini kashapata redflags kutokana na jamaa kuwa open kwake kuhusu tabia zake. You know gals, wanadhani kuna prince charming wa cinderella tales which is highly wrong. Chalii anaweza kuwa true kabisa thou simjui in person, Most players hata nao hupenda pia especially wale friends wao wanaoendana nao interests ila sio lazma amkubali. If she wants to keep it proffessional anaweza tena effortlessly lakini kudhani anaweza kupata friend mwanaume ambaye wataendana halafu mtu asidevelop anything is WRONG

Point taken sante
 
I have seen so many times watu wanakuwa na marafiki wa kike thou waliwatongoza kwa point moja in life lakini baadae waliwaheshimu sana. Unaweza kuwa na rafiki wa opposite sex kama mna common ground kama biashara. Kwanza urafiki wa hivi huwa mzuri tu maana huwa hakuna vinyongo vya kimaendeleo, kwanza gals huwa hawana mambo mengi so huwa focused sana na kama mna patnership mambo huenda faster kutokana na zile favor ambazo wao hupewa katika fursa mbalimbali. Urafiki wa hivi upo ila inabidi mwanaume ujitoe katika position na mawazo local kuwa sex ndio connection na opposite sex.

Asante kwa comment
 
Ndio hicho mkuu,Ila kama mnaendana si mmalize Tu mkuu,mpeane Tu conditions mnaweza kuwa mume na mke watu wanaoshea many things ikiwemo maarifa ya kibiashara

Kuna mengi tunapishana kulinganisha na tunayoendana
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Njoo kwangu hilo ni jambo dogo sana
 
Kwan baba ako na kaka zako hawakutoshi
 
Unajihusisha na ishu gan

Back
Top Bottom