Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,223
- 829,225
- Thread starter
- #21
Brother sijasema nyoka yoyote nimesema chatu... Kwanini nisitaje koboko, black mamba na wengine....
Nadhani hujawahi kushuhudia nilichoandika
Nadhani hujawahi kushuhudia nilichoandika
Haina ukweli wowote, mbwa akiona nyoka wa aina yeyote hata mjusi lazima atamfuata na kumnusa ili ajuwe kama ni chakula au la.




