Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.

Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA

Ni hayo tu!
Nakuunga mkono asilimia 100 na bado hapo hapo tukiomba mikopo tukipewa na mataifa yaliyoendelea ..

Viongozi wa juu wanaiba na kwenda kuificha tena Ulaya ziliko toka [emoji1787][emoji1787] haziwezi tena kufanya kazi ya maendeleo ya Nchi kwakua hela hazitoshi ,,kisa tumezirudisha Ulaya kwa kuzificha ,,

Tutaendelea kulipa madeni na fidia kwa hela tusizo zitumia [emoji1787][emoji1787] ila Africa hatuna akili kabisa ,,..
 
Ukombozi utaanza kwa mtu mmoja mmoja,wapo vijana angalau wanatudhibitishia,kwamba,sio kwamba watu weusi hawana akili,akili zipo nyingi tu,shida hazitumiki,
Ben Carson ni Dakitari bingwa wa upasuaji,USA,ndie wa kwanza kufanya upasuaji wa conjoined twins.Dangote tajiri Africa,Bakhressa,Kuna kijana aliyetrngeneza mfumo wa kopagas,Hawa wanatudhibitishia akili zetu Zina akili,ila watawala wanafanya makusudi tuendelee kuwa wajinga.
Kama nchi Bado ina watu wanaoamini matatizo kama ya kipato,makazi Bora,watoto kufaulu mitiani,magonjwa,yatatatuliwa kwa kukesha kanisani,kuomba,kukqmba chumvi na kukanyaga mafuta,Bado hatujaendelea!
Tena swala la imani ndio limeta maafa makubwq
 
Watu wengi wanachangia kwa kukataa kuwa wao hawana laana, Yamkini mtoa mada ametumia neno Kali sana kutafsiri akili zetu sisi watu weusi.

Yes! Tuseme hatuna laana, Ila uwezo wetu wa kufikiri,kupambanua na kutenda jambo hasa katika levels za kitaifa nchi za Africa tupo nyuma sana, Tazama Tanzania deni la Taifa limepaa Hadi trillions 90 na Bado tunatafuta Chaka la mkopo mwingine.
Hatujalaaniwa ila tukubali kuwa hatujawahi kuwa sawa, that's why we are among poor countries
Tatizo mnawahukumu watu weusi kwa kanuni na vipimo ambavyo si vya watu weusi.

Ni kama vile umchukue mcheza golf halafu umpeleke kwenye boxing.

Akishindwa boxing umlaumu, useme huyu hawezi boxing.

Wakati yeye ni mcheza golf, si mcheza boxing.
 
Tatizo mnawahukumu watu weusi kwa kanuni na vipimo ambavyo si vya watu weusi.

Ni kama vile umchukue mcheza golf halafu umpeleke kwenye boxing.

Akishindwa boxing umlaumu, useme huyu hawezi bixing.

Wakati yeye ni mcheza golf, si mcheza boxing.
Tusiende mbali itazame Tanzania iliyobarikiwa Mali asili kedekede Kisha iangalie Qatar iliyopo Jangwani uangalie at the national level tupo wapi.
Ukweli mchungu,
Sisi watu weusi hatujawahi kuwa sawa.
 
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Atakayepinga hii statement nae mwehu tu!!
Wale waarabu wanaovikana mabomu na kujilipua ni weusi.
Walioanzisha vita ya 1 na ya 2 ya Dunia ni weusi??? Au wao wakipewa silaha wanakuwa Malaika???
 
Watu wengi wanachangia kwa kukataa kuwa wao hawana laana, Yamkini mtoa mada ametumia neno Kali sana kutafsiri akili zetu sisi watu weusi.

Yes! Tuseme hatuna laana, Ila uwezo wetu wa kufikiri,kupambanua na kutenda jambo hasa katika levels za kitaifa nchi za Africa tupo nyuma sana, Tazama Tanzania deni la Taifa limepaa Hadi trillions 90 na Bado tunatafuta Chaka la mkopo mwingine.
Hatujalaaniwa ila tukubali kuwa hatujawahi kuwa sawa, that's why we are among poor countries
Kasome kumb LA torati
 
Tusiende mbali itazame Tanzania iliyobarikiwa Mali asili kedekede Kisha iangalie Qatar iliyopo Jangwani uangalie at the national level tupo wapi.
Ukweli mchungu,
Sisi watu weusi hatujawahi kuwa sawa.
Your right mkuu sijui tatizo ni la nani!?
Make viongozi wanchojali ni kuvuna mpunga na kupeleka watoto wao nje.
Sema time changes mda utafika kila kitu kitakuwa sawa.
 
Wale waarabu wanaovikana mabomu na kujilipua ni weusi.
Walioanzisha vita ya 1 na ya 2 ya Dunia ni weusi??? Au wao wakipewa silaha wanakuwa Malaika???
Wazungu waarabu wameuana sana sio kudra za mwenyez mungu kama tunavyoambiwa.
Roma catholic imeua zaidi ya watu mil50 hizo ww1,ww2 zaidi ya watu mil8
 
Ukiangalia rafu tunazochezewa na wazungu ni wazi kwamba asilimia 70% ya matatizo ya Africa yanasababishwa na US na EU na sikuzote hawa jamaa wanaungana linapokuja swala la kuitafuna Africa wanaweza hatawakawa wako vitani wanapigana wenyewe kwa wenyewe wakisikia kuna dili la kugawana Afrika wanaahirisha vita wamalize kwanza kula ndio waje kuendelea na vita. Halafu sio Africa pekee yake, Sadam Hussein wa Iraq, Libya alichofanyiwa na Obama na EU au Congo kule kuna mkono wa Kagame kibaraka wa wazungu. Huu umoja Waafrika hatuna usaliti kati ya waafrika kwa waafrika ni mkubwa sana hasa anapohusika mzungu yaani mweusi yuko radhi amkane ndugu yake iliapendwe na mzungu sijui utumwa wa fikra uliopandikizwa na wakoloni. Sehemu yoyote yenye mali kuna migogoro. Ongeza na ukweli kwamba wazungu wanaujua udhaifu wetu watu weusi wanaongea na wachache wenye dhamana wanawahonga pesa kidogo tu mazuzu wanauza nchi wao na familia zao wanahamia Ulaya. Hiki kitu asilimia kubwa ya wazungu hawawezi kukubali kuuza nchi zao kwa mtu mweusi. Ukisikia wazungu wanatusifia eti Waafrica / Watanzania ni wakarimu sana jua wanachomaanisha ni mazuzu ambayo yanamuweka yeye mbele kuliko maslahi ya Waafrika kwanza.
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.

Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA

Ni hayo tu!
Tena ccm laana yao wanayo mara mia
 
Waaafrika wanalaana Hilo wala halina ubishi mbona.
Ni MTU mjinga Tu asiyejua Jambo Hilo.
Au asiye na Exposure na asiye na Elimu asiyejua Jambo Hilo.
Umeongea kiudaku na umbeya ndio ujinga wako.
Hao wenye elimu ndio wametufikisha hapa sina hakika kama kuna raisi Africa ni darasa la saba.
Naunapo ongelea laana unamaanisha nini!?
Nan aliyewalaani!?
Kwa nini mlilaaniwa!?
Wameshindwa kulaaniwa wazungu kwa ushoga na uchafu kibao uje ulaaniwe wewe!?
Kuna uchafu ambao waafrika mnawazidi wazungu wao wasilaaniwe mlaaniwe ninyi!?
 
Umeongea kiudaku na umbeya ndio ujinga wako.
Hao wenye elimu ndio wametufikisha hapa sina hakika kama kuna raisi Africa ni darasa la saba.
Naunapo ongelea laana unamaanisha nini!?
Nan aliyewalaani!?
Kwa nini mlilaaniwa!?
Wameshindwa kulaaniwa wazungu kwa ushoga na uchafu kibao uje ulaaniwe wewe!?

Unaniuliza Mimi maswalo ambayo hata ukienda kwenu utagundua mnalaana.

Kaangalie Maisha ya Babu yako, kisha ya Mama na Baba yako. Kisha uje kwako mwenyewe ndio utajua unalaana au hauna.

Kujifariji hakumaanishi lolote
 
Sawa mna laana..
Nani aliyewalaani!?
Kwanini aliwalaani!?
Na hiyo laana inaondokaje!?
Kuna uchafu ambao mnawazidi wazungu!?
Kwetu ninauhakika kuna wajinga ambao wakipewa elimu stahiki ujinga unakoma hiyo laana ipo kwenu.
Jibu maswali hayo
 
Sawa mna laana..
Nani aliyewalaani!?
Kwanini aliwalaani!?
Na hiyo laana inaondokaje!?
Kwetu naamini kuna wajinga ambao wakipewa elimu stahiki kama ya Harvard ujinga unakoma hiyo laana ipo kwenu.
Jibu maswali hayo

Ndio maana unaambiwa unalaana Kwa sababu ya ujinga kama huu.
Wapo maelfu ya waafrika waliosomea hivyo vikuu na bado Akili zao hazinatofauti na ambao wamesoma huku Afrika.

Elimu haikufanyi uwe na Akili nyingi. Ola inabust Akili uliyonayo.

Akili ya muafrika ipo Chini ukilinganisha na Races zingine.

Ninyi ndio mnaodhani kusoma ndio kuwa na Akili.

Waafrika wanalaana ambayo wao wenyewe hawajui wamepewa na Nani, lakini kimsingi ni kutokana na tabia na Akili zao ndogo ndizo zimepelekea laana hizo
 
Back
Top Bottom