Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Mkuu wala hatujalaaniwa ni vile tu tunaishi na matatizo ya akili bila kujijua , watu makin tunawaona wa ovyo watu wa ovyo tunawaona makini .
Mkuu haya matatizo ya akili unadhani yanasababishwa na nini?,kama si laana maana kuna muda unaona kabisa mambo yanayofanywa na ngozi nyeusi mpaka unabaki mdomo wazi
 
Labda ungenambia kuwa watu weusi wakienda huko Harvad, Yale, Oxford au Hebrew university of Jerusalem wanashindwa kuperform kama wazungu.
Au ungenambia hawawezi kuwa creative mfano wasanii, wacheza mpira au boxing.
Au viongozi wapo wengi wazuri kama Sankara, Martin Luther king, Malcolm x, Garvey.
Huko ulaya na marekani watu wanapewa nyadhifa na nafasi wanaperform vizuri tu.
Wapo waigizaji bora sana weusi artist wazuri weusi.
Wanasansi(wagunduzi) sio sana na sababu zipo.
Useme kuwa naakili kwako wewe unataka wafanyaje!?
Mkuu,
Waafrika wakienda sehemu wakakuta mifumo naona wanafanya vizuri, swali la msingi ni kwa nini hadi twende Havard, Yale, Oxford ndio uwezo wetu uonekane? Kwa nini tusionyeshe uwezo wetu katika bara letu?
 
Swali la msingi sana
 
Mkuu haya matatizo ya akili unadhani yanasababishwa na nini?,kama si laana maana kuna muda unaona kabisa mambo yanayofanywa na ngozi nyeusi mpaka unabaki mdomo wazi
Mkuu tunaoana na kuzaliana na watu wenye matatizo ya akili , kwa hiyo kzazi cha wenye tatzo kinaendelea, kuna vitoto tunaenda kuvizaa miaka ya apa 2000 utayaona madudu yake mkuu .
 
Mkuu,
Waafrika wakienda sehemu wakakuta mifumo naona wanafanya vizuri, swali la msingi ni kwa nini hadi twende Havard, Yale, Oxford ndio uwezo wetu uonekane? Kwa nini tusionyeshe uwezo wetu katika bara letu?
Uwezo hujengwa ndg timu ya ufaransa imesheheni weusi na wanafanya vizuri sisi huko round mbili tushatoka.
Huko kuperform lazma watu wenye uwezo ndio wapewe nafasi unaona kuanzia raisi mpaka mjumbe wanapewa kwa sababu ya nasaba zao au pesa zao sio uwezo wenye uwezo wapo ila hawapewi nafasi
 
Labda ungenambia kuwa watu weusi wakienda huko Harvad, Yale, Oxford au Hebrew university of Jerusalem wanashindwa kuperform kama wazungu.

Au ungenambia hawawezi kuwa creative mfano wasanii, wacheza mpira au boxing.
Au viongozi wapo wengi wazuri kama Sankara, Martin Luther king, Malcolm x, Garvey.
Huko ulaya na marekani watu wanapewa nyadhifa na nafasi wanaperform vizuri tu.

Wapo waigizaji bora sana weusi artist wazuri weusi.
Wanasansi(wagunduzi) sio sana na sababu zipo.
Useme kuwa naakili kwako wewe unataka wafanyaje!?
Mtoa mada anahisi kwao kuna laana kwahiyo anataka kugeneealize waAfrika wote!
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Arika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.

Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA

Ni hayo tu!
Hiyo laana unayo wewe. Ila kuna baadhi ya maneno ni ya kweli ila la laana la kwako.....

Nadhani baada ya kulaumu uendeleee kuhimiza vijana wabadilike. Na usiishie Hapo, na wewe uwe mfano kwa vitendo.

Maana jamii ikijitambua na kuweza kuwa na uchungu na taifa KWa vitendo, basi hata viongozi wabovu na wezi watafikiria mara mbili mbili kuiba na kuharibu nchi maana watakuwa na wasiwasi na raia wanao jielewa.

Lakini sio kubwabwaja weeeeeee! Kama vile wale jamaa wanaoshinda kwenye vijiwe vya kahawa au drafti kwanzia asubuhi hadi jioni kuiponda serikali tu au mfuasi wa chama fulani kuponda chama fulani huku akiamini kiongizi au chama fulani kikishika madaraka atakuwa na maisha mazuri huku akiendelea kucheza drafti au shindwa kijiwe cha kahawa kwanzia asubuhi hadi jioni.
 
Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."
AGREED..But its hard for others to accept that..Its true.
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Arika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.

Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA

Ni hayo tu!
Mchango wako ni nini hapo. Umejikana, umejitukana hujatoa hata wazo lolote. Wapo watu weusi wazuri wenye akili ni dhambi kubwa kujikataa kiasi hicho mshukuru Mungu jinsi ulivyo.
 
Ndio tatizo hilo yeye kwake kuwa na akili sijui mpaka iweje, kama ni umaskini huko Latin america kuna watu maskini kuliko sisi huko Asia vilele
Kuna nchi zinaumasikini na unaona kabisa zinastahili kwasababu hawana ambavyo tunavyo,sisi tunavyo vingi lakini bado ni masikini,hii ni laana!.
 
Kama ni laana hivyo vitu sivingewekwa Jerusalem huko waliko barikiwa.
Vitu vizuri vinakaaje sehemu yenye laana!?
Naona huna hoja unadandia dandia toa ushahidi waunachokisema.
Wamarekani wangapi wanaishi kwa kutegemea food stamp!?
 
Labda ungenambia kuwa watu weusi wakienda huko Harvad, Yale, Oxford au Hebrew university of Jerusalem wanashindwa kuperform kama wazungu.

Au ungenambia hawawezi kuwa creative mfano wasanii, wacheza mpira au boxing.
Au viongozi wapo wengi wazuri kama Sankara, Martin Luther king, Malcolm x, Garvey.
Huko ulaya na marekani watu wanapewa nyadhifa na nafasi wanaperform vizuri tu.

Wapo waigizaji bora sana weusi artist wazuri weusi.
Wanasansi(wagunduzi) sio sana na sababu zipo.
Useme kuwa naakili kwako wewe unataka wafanyaje!?
Nakubaliana na wewe lakini watu hao ni 100 kwa 1 broo.

Mfano Luther King ni mmoja tu kuwahi tokaea.
So ratio yake ni 10000 kwa mmoja.

Labda Now tunae Lumumba wa pale Uganda.
 
Mkuu wewe kwa unavyoona mambo yanayofanywa na watu weusi unaona ni kawaida?
unajua mkuu, hata kipindi Israel wanafanywa watumwa kuna nguvu ilitumika kuwaonesha wao ni dhaifu mbele ya Misri, Raia walikuwepo wa mataifa yote, mfalme wa Misri alikuwepo vp mfalme au kiongozi wa Israel alikuwa wapi kukubali watu wake kuvaa vazi la utumwa? Wenzetu huaribu juu tu sisi wengine wote tunakuwa kama takataka.

Unavyoona maisha ya wananchi wa Ulaya maybe sio kwamba labda wote wana akili sana labda au wao ndo wanaishi kwa upendo by nature, hapana. ila mazingira yao yaliyotengenezwa na viongozi wao ndo huwafanya kila mtu kuila keki kwa furaha na amani bila kumuumiza mwingine.

Umasikini wetu umesababishwa na viongozi wetu tuliowaamini huko nyuma rejea kwenye history. Majamaa waliwamudu viongozi wetu kwa kuwarubuni wakajaa. Then ndo hadi sasa tupo hapa. Haya ni matokeo, Hakuna alietulaani ila ni upumbavu wetu tu wa kupenda na kuamini kila anaeonesha kujifanya kutupenda.
 
Back
Top Bottom