Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Atakayepinga hii statement nae mwehu tu!!
Yote haya yanafanyika kila siku Africa nzima
 
Mchango wako ni nini hapo. Umejikana, umejitukana hujatoa hata wazo lolote. Wapo watu weusi wazuri wenye akili ni dhambi kubwa kujikataa kiasi hicho mshukuru Mungu jinsi ulivyo.

Mimi nakubaliana na wewe kuwa wapo watu weusi wengi tu wenye uwezo mkubwa sana lakini swali ni kwa nini hkuna lolote la maana linalofanywa ndani ya Afrika na hao tunaosema wana akili sana?
 
Nakubaliana na wewe lakini watu hao ni 100 kwa 1 broo.

Mfano Luther King ni mmoja tu kuwahi tokaea.
So ratio yake ni 10000 kwa mmoja.

Labda Now tunae Lumumba wa pale Uganda.
Naona hufatilii Lumumba ni wa Kenya yule professor.

Ukisoma kitabu cha outlier au sapiens cha yuval noah harari utaona kwa nini iko hivo.

Ukizaliwa kwenye familia ya kitajiri kuna uwezekano mkubwa kuja kuwa tajiri hivo vivo ya wasomi kunauwezekano mkubwa kuja kuwa msomi.

Manaake ni kwamba katika mazingira sawa na fursa sawa kila mtu anaweza kufanya chochote.

IQ inayohitajika ili uweze kuwa katika level ya kufanya chochote competitive ni 130 tu, Einstein kuna watu wengi sana wanamzidi IQ lakini hawajafanya makubwa kama yeye same tu Newton na Tesla.

Hata wewe ungezaliwa baba yako ni Obama usingekuwa ulivo uwezekano mkubwa ungesoma Harvard, Reeds, au Yale na ukaperform vizuri.
 
Mkopo wa kujenga kibanda cha mlinzi kwa milion 6
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;

"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.

Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA

Ni hayo tu!
Harry Kane ni mzungu mbona amekosa penati muhimu sana kwa England? tuache ujinga.
 
Hakuna laana wala nini sema hao unaowasifia huwajui wametokea wapi ungejua historia yao ungeficha hiki.
Sema sisi hicho unachokiona kwao hakina muda mrefu, kwanza kaa ukijua wao walistaalabika kwanza ndipo wakaja kututawala na sisi kumbuka walitukuta tuna tamaduni na mila zetu pia na tawala zetu, wakatumia kila mbinu tuvione vyakwetu siyo basi wakawa wamefanikisha tukaacha vyote vya kwetu tukapokea vya kwao, ndipo tukaaanzia hapo kuchelewa.
Angalia mfano baiskeli unayotumia wewe huko kwenu Mwamashimba siyo anayotumia mzungu huko Vatican au mwarabu huko Qatar.
Maoni yangu ni kwamba Ipo siku bara la Afrika likuja kuwa huru.
Kama tulishawahi kuitawala dunia pia tutakuja kuitawala tena.
Kutesa kwa zamu hii ni zamu yao.
 
Sikukatalii mleta mada, japo laana ina maelezo mengine mengi yanaweza yasiwe ya kisiasa au kiimani au kiutamaduni.

Ila yote kwa yote huku Afrika kuna shida , kuna shida sio kidogo.

Shida ya yote ni umaskini na haswa umaskini wa kufiri na kuthubutu.

Inasikitisha kidogo kwa sababu leo hii tuna watu walioende shule kwa kiasi.
Wapo wenye walao digrii moja na wapo wenye shahada ya uzamifu wengi tu, na wengi wao wapo serikalini kwenye nafsi za kitaaluma na wanasiasa pia.

Masikitiko ni kwamba hawaja kuwa na msaada wowote katika jamii,taifa nk.

Ni mara nyingi sana naulaani umaskini, umaskini ni mbaya , tena ni mbaya sana.
 
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Atakayepinga hii statement nae mwehu tu!!
this rubbish, hakuna watu wameuana sana wenyewe kwa wenyewe kama wazungu. Wanaouana huko Ukraine ni Waafrika? Ulaya imefikia pale baada ya kuuana sana hadi wakafikia muafaka. sisi tuna miaka 60 tu ya uhuru wakati wao wana miaka zaidi ya 1000 ya uhuru na wengine kama US wana zaidi ya miaka 250 ya uhuru. Hata sisi tupe miaka 100 tu mingine uone.
 
Vipi kuhusu sisi Waafrika wenye ngozi ya maji ya kunde? Na sisi tunaingia kwenye hilo kundi la Waafrika wenye ngozi nyeusi, waliolaaniwa?
 
Sikukatalii mleta mada, japo laana ina maelezo mengine mengi yanaweza yasiwe ya kisiasa au kiimani au kiutamaduni.

Ila yote kwa yote huku Afrika kuna shida , kuna shida sio kidogo.

Shida ya yote ni umaskini na haswa umaskini wa kufiri na kuthubutu.

Inasikitisha kidogo kwa sababu leo hii tuna watu walioende shule kwa kiasi.
Wapo wenye walao digrii moja na wapo wenye shahada ya uzamifu wengi tu, na wengi wao wapo serikalini kwenye nafsi za kitaaluma na wanasiasa pia.

Masikitiko ni kwamba hawaja kuwa na msaada wowote katika jamii,taifa nk.

Ni mara nyingi sana na umaskini, umaskini ni mbaya , tena ni mbaya sana
Elimu yetu haijatusaidia kwa sababu haitufundishi kufikiri.
Kuanzia kindergarten mpaka chuo tunawaza tusome tupate pesa(sio vibaya) ila hiyo pesa tutaipataje!?

Kwa gharaka yeyote hata kama ni kuiba ndio hivo tunasign mikatana ya kuuza migodi familia zetu zineemeke mamilioni hawana maji wala huduma za afya.
 
Unafki,tamaa na ukabila bado unatusumbua sana japo elimu inajitahidi kupunguza makali lakini bado sana.
 
Haujitambui mdau nasema Tena haujitambui, mtu anae jitambua hawezi kuandika upuuzi kama huu naomba uthibitisho wa maandishi au vifungu vilivyosema waafrika tuna rahana ugumu wa maisha usikufanye ukakosa uzalendo
 
Nakubaliana na wewe lakini watu hao ni 100 kwa 1 broo.

Mfano Luther King ni mmoja tu kuwahi tokaea.
So ratio yake ni 10000 kwa mmoja.

Labda Now tunae Lumumba wa pale Uganda.
Lumumba ni Kenya mzee wa kazi, yupo vizuri.
 
Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa.
Hii kwakweli inaniumiza sana. Hata akina Waziri Bashe tulionaga wana akili enzi hizo kumbe ni wale wale.

Zao la ngano lina soko kubwa sana hapa Tanzania na Afrika.

Kama kweli kuna mikoa Ngano i astawi na badala ya kuwekeza huko tunaona sio sawa lakini tunaagiza Ngano Ukrain na Urusi basi ni kweli sisi ni Nyani.
 
Back
Top Bottom