Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,654
Kwa hiyo hata wewe unayesema unalaana hujui nani kakulaani, kwanini kakulaani, na ufanyaje ili laana ikome.Ndio maana unaambiwa unalaana Kwa sababu ya ujinga kama huu.
Wapo maelfu ya waafrika waliosomea hivyo vikuu na bado Akili zao hazinatofauti na ambao wamesoma huku Afrika.
Elimu haikufanyi uwe na Akili nyingi. Ola inabust Akili uliyonayo.
Akili ya muafrika ipo Chini ukilinganisha na Races zingine.
Ninyi ndio mnaodhani kusoma ndio kuwa na Akili.
Waafrika wanalaana ambayo wao wenyewe hawajui wamepewa na Nani, lakini kimsingi ni kutokana na tabia na Akili zao ndogo ndizo zimepelekea laana hizo
Umaskini kuna watu wanishi marrkani wanategemea food stamps, Asia na Latin america kuna umaskini uliokithiri.
India kuna wazazi mpaka wanawakata watoto wao mikono ili awe omba omba.
Unaonga kwa hisia na dhania kuliko uhalisia.
Unasema nikaangalie maisha ya babu, bibi, mama nk. Laana kwako ni kuwa maskini au nini!?
Mara unasema kuna watu wako na elimu lakini sijui ikawaje maana yake ni matajiri lakini wanalaana.
Eleweka kwanza laana ni nini kwako.
Nilidhani unaakili kumbe mpumbavu tu.