Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Uafrika hasa utanzania ni laana

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Imani yako ndiyo nguzo na dira yako.
Ndiyo kiongozi wako hasieonekana.
Haijalishi matamanio yako.
Kilichopo ndani ndicho huchongwa nje.
Imani yako itakujenga ama kukubomoa. Uamuzi wako.

Imagine kuna watanzania wenzako wanashangilia na kufurahi kwa kuzaliwa na kuwa Tanzania.

Mpaka sasa Science haijathibitisha uwezekano wa kuchagua wapi utazaliwa na nani utazaliwa nae, until then let’s just embrace who we are and what we have and see what happens from there.

.
 
Ila fani ya ulozi tupo mbele Sana.

Huwezi kuamini ila waliokuja kututawala na kutupeleka utumwani hawaishii kuiba rasilimali za ardhini tu mpaka leo, wamo mpaka ndani ya nafsi zetu japo imekua ngumu kupenya rohoni kwa asilimia 100!

Wanakula maliasili mpaka nyama na mwili.

Bado tupo vitani na wanaotuangusha ni wenzetu wanaobweteka kwa vipande vya dhahabu
 
Waafrika ni "incomplete human beings".

Labda kama Evolution ina endelea anaweza badilika na kuwa binadamu kamili.

Ila kwa sasa mwafrika si binadamu kamili.

Balozi wa Romania nchini Kenya alikuwa sahihi kabisa kuwaita Waafrika Nyani.View attachment 2718159

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Mu-Africa sio binaadam kamili kwa mujibu wa nani? Ni nini ama nani SI UNIT ya Bin Adam kamili?

Umeshawahi kujiuliza pengine kila mmoja wetu yuko na character sahihi kwa mujibu wa mazingira yake tangu kuumbwa kwake?

Binaadam wote ni Sawa lakini binaadam hatuna usawa.

Aliezaliwa na kukulia Dar es salaam Magomeni hawezi kuwa Sawa na aliezaliwa na kukulia Park Avenue New York.

Aliezaliwa na kulelewa na wazazi wa ki- Africa hawezi kuwa Sawa na aliezaliwa na kulelewa na wazazi wa ki- Caucasian japo wote wamezaliwa New York.

Nadhani ustaarabu kamili ni kila jamii kuheshimiana bila kuyaangalia madhaifu ya mwingine wala Kulazimisha Mila na Tamaduni za jamii nyingine ndio ziwe muongozo wa jamii nyingine.
 
Imani yako ndiyo nguzo na dira yako.
Ndiyo kiongozi wako hasieonekana.
Haijalishi matamanio yako.
Kilichopo ndani ndicho huchongwa nje.
Imani yako itakujenga ama kukubomoa. Uamuzi wako.

Imagine kuna watanzania wenzako wanashangilia na kufurahi kwa kuzaliwa na kuwa Tanzania.

Mpaka sasa Science haijathibitisha uwezekano wa kuchagua wapi utazaliwa na nani utazaliwa nae, until then let’s just embrace who we are and what we have and see what happens from there.

.
Mkuu Coach Slamah Hamad

Hebu, Tujikite kwenye uhalisia zaidi na ukweli ulivyo tuache maneno ya kujifariji.

Watanzania wengi wanaishi maisha ya kimaskini sana, Licha ya kwamba wana rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuwapa maendeleo.

Tanzania yenye miaka 62 ya kujitawala na kujiongoza yenyewe bado inasumbuliwa na ukosefu wa maji, umeme shida, barabara za kuunga unga, Huduma za afya mbovu.

Tanzanite inapatikana Tanzania pekee lakini anaye ongoza kwa kuuza Tanzanite Worldwide ni India.

Geita mji wenye dhahabu lakini Raia wake wengi ni Maskini choka mbaya wame achiwa mashimo.

Mtanzania kashindwa kusimamia Bandari yake mwenyewe sababu ya wizi uliokithiri, Sasa anaona ni bora kumpa mwarabu amsaidie.

Kila sekta ya hii nchi kumejaa rushwa, wizi, uhujumu uchumi, uchawa na umbea.

Mtanzania hakuna anachoweza kufanya kwa uaminifu bila kusimamiwa sababu ya tabia ya wizi uliokithiri kwa kila mtanzania.

Sasa kama si laana, ni nini hii?

Mataifa mengine wapo level za Artificial intelligence, space exploration, wana viwanda ya kutengeneza ndege, meli, magari, simu, vifaa vya kielectroniki na teknolojia nyingine nyingi za kiuvumbuzi.

Sisi Tanzania karne hii ya 21 bado umeme shida, maji shida, barabara shida, huduma za afya duni!!!!!

Tutakaa tuwafikie wenzetu kweli?

Nakwambia tena hivi, [emoji116]

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE.
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE.
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE.
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE.
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE.
 
Mu-Africa sio binaadam kamili kwa mujibu wa nani? Ni nini ama nani SI UNIT ya Bin Adam kamili?

Umeshawahi kujiuliza pengine kila mmoja wetu yuko na character sahihi kwa mujibu wa mazingira yake tangu kuumbwa kwake?

Binaadam wote ni Sawa lakini binaadam hatuna usawa.

Aliezaliwa na kukulia Dar es salaam Magomeni hawezi kuwa Sawa na aliezaliwa na kukulia Park Avenue New York.

Aliezaliwa na kulelewa na wazazi wa ki- Africa hawezi kuwa Sawa na aliezaliwa na kulelewa na wazazi wa ki- Caucasian japo wote wamezaliwa New York.

Nadhani ustaarabu kamili ni kila jamii kuheshimiana bila kuyaangalia madhaifu ya mwingine wala Kulazimisha Mila na Tamaduni za jamii nyingine ndio ziwe muongozo wa jamii nyingine.
Binadamu aliye kamilika kimwili na kiakili hawezi kuishi kwenye rasilimali na akawa maskini omba omba.

Waafrika ni Goigoi tangu zamani.
FB_IMG_1691909296792.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Naandika kwa hekima nisije kuambiwa nimetukana lkn hebu tufikirie Nyerere aliiacha nchi ikiwa na raslimali kiasi gani, na zimetusaidia nn km nchi mpk saivi tunakopa hela za covid kujenga maharasa. Tuna maji kila kona ardhi nzuri nchi nzima,lkn tunaagiza ngano na mafuta ya kula nje.bado nchi ni omba omba. Lkn tu matajiri wa raslimali.
 
Back
Top Bottom