Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ni Nani alikwambia mtu mweusi amelaaniwa?

Pengine alifikiri laana yako ni kwa waafrika wote
Nimekuambia taja gunduzi kubwa zilizofanywa na Mtu mweusi au Mwafrika mweusi anywhere in the world na ikasaidia waishio duniani....acha mbwelela nyingi

Jibu kinagaubaga
 
Unat"mbwa mwambie mama yako aandae.
Ukirudi karne hizo, hata Africa egpyt kulikuwa na wanasansi dunia nzima ilienda Alexandria library wewe kima
Narudia, taja gunduzi zilizofanywa na watu weusi, ambayo ni msaada mpaka sasa katika watu waishio duniani

Kuhusu kumwambia mama yangu wala haina shida hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] najua mtakuja na mama yako kushea huu muwa
 
Unat"mbwa mwambie mama yako aandae.
Ukirudi karne hizo, hata Africa egpyt kulikuwa na wanasansi dunia nzima ilienda Alexandria library wewe kima
Haina shida....mama yangu anaandaa, ila jibu swali kwa mantiki tuendelee bibie[emoji23]
 
Narudia, taja gunduzi zilizofanywa na watu weusi, ambayo ni msaada mpaka sasa katika watu waishio duniani

Kuhusu kumwambia mama yangu wala haina shida hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] najua mtakuja na mama yako kushea huu muwa
Unat*mbwa mwambie mama yako aandae.
Kyle Egypt unaposikia ni centre ya modern civilization elimu zote zimeanzia kule hizi sayansi au hizo occult ndio maana waliweza kujenga hata hizo pyramid(engineering and architecture).
In short physics, mathematics, calendar, biology wao ndio watu wa kwanza kumfanyia mtu upasuaji hiyo elimu ya kutibu kipitia unyayo au reflexology imeanzia huko nk.
 
Unapaswa ujue vitu viwili :

Wakichogundua waarabu na ikawa proved ni ganzi, kwasababu haikuwezekana kufanya any operation bila ganzi

Algebra ni aina nyingine (single & huge topic) ya mathematics waliyogundua n.k n.k

Waliokuwepo Egypt wakati wote ule yangu enzi za Musa na wakati wa Alexander The Great akiivamia Egypt na kuanzisha Mji wa Alexandria...Egypt llikuwa na Waarabu weusi, jamii iliyopo pia Ethiopia, Eritrea na Sudan...sio Watu weusi au Wabantu kama inavyotanabaishwa

Kabla ya kuleta jambo, ufanye utafiti...hata Ethiopians ni Waafrika tu kwamaana ya Location kama walivyo Watunisia, Wamisri au Wamorocco ila bloodly sio watu weusi na ndio maana Marcus Garvey alipinga Haile Sellasie kuwa Identity ya utawala wa Mtu mweusi.
 
Hizo namba waarabu walizitoa kwa wa Hindu(Hindi) baada ya kui-qonquer empire ya wa Hindu jaribu hata kugoogle.
Sijawahi kuona waarabu weusi wala kusikia Ethiopia kuna weusi ambao ni kush na wabantu origin yao ni huko hata Cleopatra alikuwa pure black
 
Unapaswa ujue vitu viwili :

Wakichogundua waarabu na ikawa proved ni ganzi, kwasababu haikuwezekana kufanya any operation bila ganzi

Algebra ni aina nyingine (single & huge topic) ya mathematics waliyogundua n.k n.k

Waliokuwepo Egypt wakati wote ule yangu enzi za Musa na wakati wa Alexander The Great akiivamia Egypt na kuanzisha Mji wa Alexandria...Egypt llikuwa na Waarabu weusi, jamii iliyopo pia Ethiopia, Eritrea na Sudan...sio Watu weusi au Wabantu kama inavyotanabaishwa

Kabla ya kuleta jambo, ufanye utafiti...hata Ethiopians ni Waafrika tu kwamaana ya Location kama walivyo Watunisia, Wamisri au Wamorocco ila bloodly sio watu weusi na ndio maana Marcus Garvey alipinga Haile Sellasie kuwa Identity ya utawala wa Mtu mweusi.
Unat*mbwa mwambie mama yako aande.
Ndio maana na kuambia uwe unasoma wewe uliposikia tu Arabic number ukajua wao ndio walizigundua utamezeshwa matango pori sana.
 
Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."
Jamaa alitisha Sana hi kauli inauma sana
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa. Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Nenda hapo jirani tu Congo ujionee Nchi ilivyo na mali za kutosha,lakini angalia maisha wanayoishi wakongomani.Najua kuna watu watasema wazungu wanawapiganisha wakongo ili wao wavune mali,swali hapo ni kwanini mkubali kupiganishwa na wazungu ili wao wavune mali yenu?,Je hamuoni hiyo ni laana na kukosa akili?.

Acha Kongo.

Shuka hapo kwa Madiba(South Afrika) ukaone waafrika wanavyoishi maisha ya kihuni,Ngozi nyeusi huko zimebaki kuuana zenyewe kwa zenyewe na kuendesha magenge ya mauaji,hii tafsiri yake ni kwamba hii ngozi inashida mahali.

Ukiwaondoa waarabu wa Kaskazini hebu ziangalie nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara nadhani ndiyo utapata majibu.

Tuna kila nyenzo na rasilimali za kututoa gizani na kwenye umasikini lakini mpaka sasa wananchi wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa!.

NGOZI NYEUSI INA LAANA!

Ni hayo tu!
Ngozi nyeusi ni mabaki mabaki yaliyobaki wakati wa kutengeneza binadamu ,,Hivyo Mungu alivyochoka kuumbwa binadamu akaamuwa kuumba kitu mfano wa binadamu ambacho ni cheusi tiii,, Ngozi nyeusi haijawahi kuwa na akili hata siku Moja, Kuna mda huwa Natamani Ukoloni ungerudi Tena maana ngozi nyeusi haiwezi kujitawala inatakiwa itawaliwe na viboko viwepo vya kutosha
 
Ngozi nyeusi haijawahi kuwa na akili hata siku Moja,
Ina maana na wewe hauna akili...??
... maana ngozi nyeusi haiwezi kujitawala
Jee wewe huwezi kujitawala??
inatakiwa itawaliwe na viboko viwepo vya kutosha
Kwa ivo wewe binafsi unatamani uwe ni sehemu ya hao waafrika watakaochapwa viboko??

Kwa mitizamo kama hii jee wazee wetu walikosea wapi pale walipowauza ndugu zao kwa waarabu na wazungu kama bidhaa!!??

Utofauti wetu na mababu zetu kina Mangungo wa Msowero ukoje??
 
Malipo ya kumtetea mtu mweusi ni kifo.

Watu weusi tumelaaniwa kwa laana ya Milele.

Ukuta nyoka na mtu mweusi wanapigwa, please muokoe nyoka. Watu weusi ni wabinafsi na hatujui tunalitaka kwenye maisha yetu.

Kila mtu yupo corrupt, hata Hawa wanaojiita wazalendo hala jf, wakipata mamlaka kwa sababu ya laana, Wana Anza kufanya kwa ajiri yao.

Kwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
 
Una hasira
 
bora mleta uzi umeligundua hilo, very true unaona huko afrika magharibi tunapinanishwa weusi kwa weusi kisa weupe wako nyuma yetu mwisho wa siku wanaendelea kuvuna rasilimali zetu tu na sisi tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa. SHAME black including my self.
 
Kwa hiyo unatuambia kwamba una laana au?
 
bora mleta uzi umeligundua hilo, very true unaona huko afrika magharibi tunapinanishwa weusi kwa weusi kisa weupe wako nyuma yetu mwisho wa siku wanaendelea kuvuna rasilimali zetu tu na sisi tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa. SHAME black including my self.
F3fz3E6WQAEF87F.jpeg
 
Back
Top Bottom