little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,393
- 4,715
[emoji23][emoji23][emoji23] katafute pesa mkuu wacha tukomae kulinda mipaka.Anyway nyie endeleeni kupenzika! Ngoja mi nisake pesa
[emoji23][emoji23][emoji23] katafute pesa mkuu wacha tukomae kulinda mipaka.Anyway nyie endeleeni kupenzika! Ngoja mi nisake pesa
🤣🤣🤣🤣🙌[emoji23][emoji23][emoji23] katafute pesa mkuu wacha tukomae kulinda mipaka.
Sijui kapatwa na nini maskiniUna hasira
Chuma cha mjerumani.jiaminini mtu mweusi ni Bora acheni kukufuru.
Bora ungezaliwa kenge Ulaya atiKwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
Tunayapakia mpk vumbiTena mapenzi ndiyo sehemu ambayo tumeipa kipaumbele sanaaa.
Kusanya kwanza azimioMalipo ya kumtetea mtu mweusi ni kifo.
Watu weusi tumelaaniwa kwa laana ya Milele.
Ukuta nyoka na mtu mweusi wanapigwa, please muokoe nyoka. Watu weusi ni wabinafsi na hatujui tunalitaka kwenye maisha yetu.
Kila mtu yupo corrupt, hata Hawa wanaojiita wazalendo hala jf, wakipata mamlaka kwa sababu ya laana, Wana Anza kufanya kwa ajiri yao.
Kwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
Hakuna binadamu aliyelaaniwa milele. Ukisema tumejilaani sisi wenyewe nitakuelewa. Rushwa na uchafu mwingi uliotuzunguka siyo laana, vyote vinaweza kutokomezwa kama tukijitambua.Malipo ya kumtetea mtu mweusi ni kifo.
Watu weusi tumelaaniwa kwa laana ya Milele.
Ukuta nyoka na mtu mweusi wanapigwa, please muokoe nyoka. Watu weusi ni wabinafsi na hatujui tunalitaka kwenye maisha yetu.
Kila mtu yupo corrupt, hata Hawa wanaojiita wazalendo hala jf, wakipata mamlaka kwa sababu ya laana, Wana Anza kufanya kwa ajiri yao.
Kwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
Waafrika ni "incomplete human beings".Ukweli mtupu, hivi kuna watu bado wanaamin mtu mweusi ni binadamu?
Haya moja kati ya makosa mabaya kabisa ni kufanya jambo lolote na muafrika hasahasa biashara , nakusihi eee muafrica mwenzangu usijaribu aawe ni ndugu , rafiki, ama yeyote yule mwisho wa siku utaangukia kwenye mikono ya sheria ,,,, mfano kuna jamaa angu alikuwa anasali sana , afunga mpaka siku tatu bila kula , anatembe na biblia masaa yote , usiku anaamka anaanza maombi ya usiku, tukaaminiana tukafanya biashara , MWISHO WA SIKU KAKIMBIA NA MILIONI 9 ZANGU, hivi navokuambia kabadirisha hadi namba ila dunia inazungua ipo siku tutakutana na ATAITAPIKA HIYO M9