Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,315
- 55,720
Ndo maana vijana tumeelekeza nguvu kubwa kwenye pesa na mapenzi tu
NAKAZIAWatu weusi tumelaaniwa kwa laana ya Milele.
Kuwa Mfano wewe kama Nelson Mandela!Malipo ya kumtetea mtu mweusi ni kifo.
Watu weusi tumelaaniwa kwa laana ya Milele.
Ukuta nyoka na mtu mweusi wanapigwa, please muokoe nyoka. Watu weusi ni wabinafsi na hatujui tunalitaka kwenye maisha yetu.
Kila mtu yupo corrupt, hata Hawa wanaojiita wazalendo hala jf, wakipata mamlaka kwa sababu ya laana, Wana Anza kufanya kwa ajiri yao.
Kwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
Kwasababu nawewe umelaaniwa🤔😂Kwann nilizaliwa Africa kwa watu weusi????
Tena mapenzi ndiyo sehemu ambayo tumeipa kipaumbele sanaaa.Ndo maana vijana tumeelekeza nguvu kubwa kwenye pesa na mapenzi tu
Si hata ww unaona humu PM zikiyumba kidogo raia wema wanavoreact🤣Tena mapenzi ndiyo sehemu ambayo tumeipa kipaumbele sanaaa.
Kwa hiyo unajikataa unamlaumu Mungu au?UKIWA MWEUSI TU NI LAANA
Kwa hiyo unajikataa unamlaumu Mungu au?
Bado hatujafikia viwango vya ustaarabu,tukifikia huko yote yataisha
Mzee baba wengi sana nimechunguza mapenzi ndiyo priority yao, na endapo kama wewe si mtu wa mlengo huo kiwango hicho unaonekana kisicho riziki.Si hata ww unaona humu PM zikiyumba kidogo raia wema wanavoreact[emoji1787]
Lkn kwenye kusema tumezingatia mapenzi zaidi sio kwel hapa ni utashi wa mtu binafsi mimi hela kwanza, mapenzi nayadefine kingono zaidi
Anyway nyie endeleeni kupenzika! Ngoja mi nisake pesaMzee baba wengi sana nimechunguza mapenzi ndiyo priority yao, na endapo kama wewe si mtu wa mlengo huo kiwango hicho unaonekana kisicho riziki.
Wala sio kufuru.jiaminini mtu mweusi ni Bora acheni kukufuru.