Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Hawajui hata Karl Max, Einstein walikuwa na vinasaba vya weusi!?
Vipi kuhusu Obama na Ben Carson!?
Wanasau pia muafrika ndio baba wa race zote zilizopo.
Hawa wapuuzi Sana ngoja niwasubiri hapa
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa. Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA!

Ni hayo tu!
Sawa hata Baraka Obama ni mtu mweusi jiamini tu wewe pia kuna wazungu wengi ni watu wa hovyo2 tu na wengi sana tu
 
Tatizo mnawahukumu watu weusi kwa kanuni na vipimo ambavyo si vya watu weusi.

Ni kama vile umchukue mcheza golf halafu umpeleke kwenye boxing.

Akishindwa boxing umlaumu, useme huyu hawezi boxing.

Wakati yeye ni mcheza golf, si mcheza boxing.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Ila aisee sikulaumu kuwaza hivyo... Hasa hasa nikicheki reports za blacks wa USA na South Africa.. bila kusahau na watawala wetu hapa Africa.. Ni kama tuna kilaana flani..

Hatuna umoja na tunapenda ubishoo na kutambiana (flexing)... Yani mtu anakubania fursa ili atoboe mwenyewe ili baadae aje kukuringishia..

Ukisema ujitume kuna kina tiiaarahei na alimashauli wanakusomea ramani waje wakuzingue..

Lakini tusikate tamaa
 
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Atakayepinga hii statement nae mwehu tu!!
Unapingaje hii?... Ni bull's eye
 
Neno sahihi nadhani ungesema waafrca walio wengi ni wajinga wakiongozwa na wasomi.
Muafrica akisoma ndio anakuwa mjinga maradufu(sio wote) nadhani kwa sababu usomi nisehemu ya kutaftia mkate tu.
Kusoma hakuhusiani na uovu wala wema...mtu kama ni corrupt by nature hawezi badilika hata akisoma
 
Tatizo mnawahukumu watu weusi kwa kanuni na vipimo ambavyo si vya watu weusi.

Ni kama vile umchukue mcheza golf halafu umpeleke kwenye boxing.

Akishindwa boxing umlaumu, useme huyu hawezi boxing.

Wakati yeye ni mcheza golf, si mcheza boxing.
una maana gani bro
 
Tuanze kubadilika katika kaya zetu. Tunaoishi sasa tuna faida ya kujifunza toka kwa wengi walio fanikiwa.

Hatuwezi kama Taifa kubadilika ghafla, lakini hatua za mabadiliko tutaziona.

Tatizo letu kubwa tunaamini kiongozi wa nchi ndio wa kuleta au kufanya maajabu.

Tunaoongozwa tukijitambua hata wanao tuongoza watatii matakwa yetu.

Kila kaya ijipambanie kupata maarifa kwa njia yoyote, kutumia vizuri raisilimali hata kama ni kipande cha ardhi robo ekari, kupigia kelele ubadhilifu wa kila aina kuanzai anapoishi.

Mambo ni mengi lakini kila kaya ikatae umaskini, ianze sasa pale ilipo, kulalamika hakujazi kikapu, hakuna njia za mkato.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Family values ni muhimu sana... Tunalalamikia viongozi wetu Africa ni wabovu lakini hao viongozi wamezaliwa humu humu kwenye Familia za kiafrika wala hawajatoka ulaya... Shida ipo kwenye upbringing zetu, shida ipo kwenye kaya..
 
Mkuu umesema ukweli mchungu. Mtu mweusi ana reasoning capacity ndogo sana. Anaweza hata kununua behewa la escape from Sabibu kwa bil 2 plus na akapata weusi wenzake wanaomshangilia kumbe bei halisi ni mil 500 tu.
Kimsingi mtu mwenye ngozi nyeusi ana akili kidogo ukilinganisha na wale wenye ngozi weupe.
Akili zetu zina uwezo fresh tu, shida ni kwenye matumizi ya hizo akili...
Kuna watu wanapiga madili ya wizi kwa kutumia akili nyingi (angalia skendo nyingi za ufisadi bongo)..
Hizo hizo akili wangezitumia kwenye mambo mema tungekuwa mbali..
 
Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."
P.W. Botha.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Atakayepinga hii statement nae mwehu tu!!
No, atakaye support.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • 20230216_160007.jpg
    20230216_160007.jpg
    81.7 KB · Views: 24
"
Waafrika weusi tulio Marekani tunaambiwa sisi si watu weusi, sisi ni Waafrika.Watu weusi ni wale waliokuja Marekani na utumwa "... Mpaka hapo unathibitisha mtoa maada yupo sawa... Ngozi nyeusi tuna-ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe..
 
Halafu wanataka upumbavu wao watuambukize na sisi,

Labda watuambie wanaposema ngozi nyeusi hawana akili wanajumuisha na JK. nyerere, Mandela ,Koffi Anan, Dr Asha Rose Migiro, Ellen Johnson Sirleaf?
Mtu mweusi hana akili. Period.
Miaka ya 90 Nyerere aliacha madaraka na kuruhusu mfumo wa vyana vingi kwa asilimia 20 ndio na 80 hapana. Je umewahi kuona mtu ametwa mshindi kwa uwiano huo?
Ukweli ulikuwa mfumo wa wazungu unataka vyama vingi ape de asipende. Nyerere alishindwa kuzuia na kusimamia kile anakiamini.
Hao wengine uliosema tusiseme,walifikaje nafasi hizo.

Jiulize kwani sisi ni bara maskini kuliko yote? Ili hali 70's india walikuwa maskini kuliko sisi lkn wametoboa.
I.Q si kigezo cha kupimia uwezo wa mtu. Mtu anakuwa kwa kwanza kwenye mahesabu magumu lkn hawezi kuendesha maisha pasipo ajira I.Q yake inasaidia nini. Kwanza nani ametuambia IQ umuhimu wake? Ni mzungu, mpuuzi tu.

Tuache kujifariji adhawaisi tutafute suluhu..
Unaona viongozi wetu weusi wanaiba hela ya kwako wanaenda kuficha kwa wazungu. Hapo ipo akili kweli? Bora wangeweka nyumbani.
 
Hawajui hata Karl Max, Einstein walikuwa na vinasaba vya weusi!?
Vipi kuhusu Obama na Ben Carson!?
Wanasau pia muafrika ndio baba wa race zote zilizopo.
Ben Carson sawa... Ila Obama ni ovyo kabisa... Kashindwa kusaidia mageto ya Chicago huko watu weusi wanauana kama wadudu.. anazidiwa hata na chizi Kanye West au Trump
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.

Zamani nilikuwa nawaona wanawake wanaojichubua wapumbavu, mazwazwa na wajinga kwa kuukana Uafrika wenye ngozi nyeusi nzuri na kukimbilia kuutamani Uzungu, nadhani nilikuwa bado sijafahamu chochote na mimi nakili kabisa nilikuwa miongoni mwa wapumbavu!.

Mniwie radhi sana watu wote niliowaona wapumbavu baada ya kubadili rangi ya ngozi zenu na kuukimbilia weupe!

Waafrika (Ngozi nyeusi) kuna muda unaona mambo wanayoyafanya ni kama kichwani wamebeba makopo. Nenda Marekani ukawaone ngozi nyeusi wanavyoishi na namna walivyo, nadhani utanielewa nini namaanisha.

Njoo hapa Afrika ujionee vituko na maajabu ya mtu mweusi, nakwambia ni nafuu hata nyani kuna muda hutumia akili lakini si hizi ngozi nyeusi.

Naungana na Wazungu kutuita nyani au sokwe, kiukweli tunastahili kuitwa hivyo na hapa sipepesi macho kwakuwa na mimi ni mtu mweusi hivyo kwenye hii laana siiepuki!

Nawashukuru sana Waarabu kwa kuliona hilo, waliwakataza kabisa wanawake wao kuolewa na ngozi nyeusi kwasababu wanaepusha laana kwenye koo na familia zao.

Leo kuna watu weusi wajinga wamekomaa eti Morocco inawakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia, acheni huu ujinga wa kujipendekeza kwa Waarabu ambao hawana time na nyie.

Nyie pambaneni na laana yenu, Morocco walishasema kabisa wao wanawawakilisha Waarabu wenzao.

Rais wa Afrika kusini Pieter Willem Botha aliwahi kunukuliwa akisema;
"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."

Hii kauli hadi leo haijawahi kukanushwa hadharani au kivitendo,bali ndiyo inathibitishwa hadharani na kivitendo kutoka kwa Ngozi nyeusi yenye laana.

Tumekalia dhahabu na madini chungu nzima lakini bado viongozi wetu wanaenda kuwapigia magoti wazungu na kuwaomba misaada.

Tuna maeneo na ardhi yenye rutuba ya kuzalisha kila zao na likakubali,kibaya zaidi tunatoka kwenye nchi ilibarikiwa kila kitu tunakwenda Saudi Arabia jangwani kununua ngano kwa mabilioni ya pesa. Tumezungukwa na maziwa,mito na mabwawa makubwa lakini watu hawana maji.

Tuna kila nyenzo za kututoa gizani lakini mpaka sasa wananchi wanaishi gizani.

NGOZI NYEUSI INA LAANA!

Ni hayo tu!
Kwenye nukuu ya Kaburu Botha ulitupiga.

Alisema Warabu na weusi na nukuu zingine zikafuata kama ulivyoandika bhana.
 
Back
Top Bottom