Kweli ngozi nyeusi inalaana(midnight talk)

Kweli ngozi nyeusi inalaana(midnight talk)

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
1,297
Reaction score
2,290
Nimeishi na jamii nyingi za kimatumbi..

Nilicho gundua tatizo sio hali ngumu ya maisha.

Tatizo ni sisi wenyewe, we lack emotional awareness, and most people are dumb with degrees and masters.

Leo hii nenda maofisini, unakuta jitu lina PhD lakini mentality yake hakuna tofauti na mtu aliyesema darasa la saba.

Bado linawaza kuhusu uchawi, bado linaonea wivu wenzie, bado nalo linawaza kimkandamiza mwajiriwa mwenye maisha duni.

Yani ni kwamba ngozi nyeusi ni kama ina laana hivi, yaani majitu yako easily triggered, likinunua kigar labda IST lina anza kuringa mtaani hata salamu haliitikii.

Issue kubwa tunakaa kujilaumu sijui uongozi bora, sijui hakuna system nzuri, na mengineyo...

Unafikiri kuna mtu atakuja kutengeneza hizo system kama sio nyie wenyewe wananchi?

Mfano hii Dar ni chafu sana, unakuta wakazi wapo tu wanatazama mitaro na Mifereji ya barabara inanuka, ila kuweka initiatives wao kama wao Wameshindwa.. Unafikiri wananchi wakaamua watakosa support?

Tuje tatizo la ajira, vijana anakesha vijiwe na kubeti tu.. Yaani hata kuji organize wafanye kitu hakuna.

Binafsi naona kabisa ngozi nyeusi inalaana. Hata black Americans, kule wanauwana wao kwa wao, mass shooting. Drug dealers na kadhalika, ni hatari kwasababu ngozi nyeusi inahusiana na demonic entity.

Ila ukweli ni kwamba, wachawi ni sisi wenyewe.

Sometimes huwa mtu akiongea yanakuja kusema nafatilia maisha ya watu, au jingine kinakuja kusema unajipa umuhimu usio kuwa nao, how pathetic..

Midnight talk... 😎
 
Watu mataahira wapo race zote. Binafsi nilikuwa nadhani wazungu ni watu smart sana kiujumla mpaka nilipoanza kufuatilia sana mada za Marekani na kuona pia kuna watu weupe wengi wajinga

Tatizo kubwa ni kwamba tunaishi kwenye dunia ambayo ni kawaida Waafrika/watu weusi kuwa dehumanized as whole hata akikosea mmojawapo. Mtu mweupe akifanya kosa tunamlaumu yeye peke yake kwamba ana matatizo binafsi, lakini mtu mweusi akikosea basi ni jamii nzima ya watu weusi inalaumiwa na kuanza kuquestion uwezo wa watu weusi wote kifikra na kimaadili

It's sad pale unapoona mtu mweupe akikosea na kuamini kuwa huenda ni mental issue au matatizo yake binafsi ila mtu mweusi akikosea basi watu weusi wote ni wajinga na wana matatizo. Inshort dunia haitaki mtu mweusi akosee
Watu weupe wakikosea ni sawa, ila watu weusi wanapaswa kuwa perfect, every one of them. Akikosea mmojawapo basi jamii nzima ya watu weusi ina matatizo
 
Laana kubwa Mungu alitoa moja kwa moja kwenye Biblia

1. Laana kwa Nyoka (Shetani)

- Kutambaa kwa tumbo na kula mavumbi siku zote.

Matokeo: Uadui wa kudumu kati ya uzao wa mwanamke na uzao wake, hatimaye uzao wa mwanamke utamponda kichwa.

Mwanzo 3:14-15

2. Laana kwa Mwanamke (Hawa)

  • Kuongeza uchungu wa kuzaa na tamaa kwa mumewe.
  • Kuzaa kwa maumivu na mumewe kumtawala.

Mwanzo 3:16

3. Laana kwa Mwanamume (Adamu) na Ardhi

  • Ardhi kulaaniwa kwa sababu yake.
  • Kula kwa jasho, kufanya kazi ngumu yenye miiba na magugu, hatimaye kurudi mavumbini (kifo).

Mwanzo 3:17-19

Laana kwa Kaini labda ndo aliwazaa waafrika

  • Kulaaniwa kutoka kwenye ardhi.
  • Ardhi kutomzaa tena matunda, kuwa mkimbizi na mtangatanga duniani.

Mwanzo 4:11-12

5. Laana ya Kutotii Sheria / Agano

- Laana zote zitawapata wale wasiotii sauti ya Mungu.

  • Laana mjini na shambani, maradhi, kushindwa vitani, utumwa na umasikini.
  • Kumbukumbu la Torati 28:15-20

Hii inatuhusu
 
Uko sahihi kabisa na sikatai..

Ila kwa watu weusi, shida inaanzia kwetu sisi wenyewe, we are traumatic, yaani mtu toka akiwa mdogo anakuwa programmed kujua kuwa hawezi, so hata akisema aanze kuwa wa tofauti atapokea bullying sana

Mfano, hata hapa hapa jamiiforums, mtu akianzisha mada ya kuleta mabadiliko itakuja jitu, lita anza kumbully tu.

Sio kwamba sisi ni wajinga, Hapana.

Waafrika tunachawiana sisi wenyewe, tunaishi kwa mazoea kuwa aina fulani ya maisha sio yetu. So mtu akija na mentality yenye changes utasikia wanasema an jiskia..

Issue sio kukosea, hakuna binadamu mkamilifu, ila wamatumbi wame normalize kuwa hakuna type ya maisha au mtazamo mwafrika anapaswa kuishi,

Kuna msemo kuwa mtu akifanikiwa basi atakuwa freemason au katoa mtu kafara.

Vitu kama hivyo utavikuta katika jamii ya kimatumbi pekee
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya laana na lifestyle ya mwafrika
Laana ni sio mpaka ubadilike mwili ama kuwangiwa na wachawi..

Laana ni kukosa ahuweni ya maisha, kutokana na kukosa nyezo na kurudishana nyuma. Kwanza nini maana ya laana?
 
Laana kubwa Mungu alitoa moja kwa moja kwenye Biblia

1. Laana kwa Nyoka (Shetani)

- Kutambaa kwa tumbo na kula mavumbi siku zote.

Matokeo: Uadui wa kudumu kati ya uzao wa mwanamke na uzao wake, hatimaye uzao wa mwanamke utamponda kichwa.

Mwanzo 3:14-15

2. Laana kwa Mwanamke (Hawa)

  • Kuongeza uchungu wa kuzaa na tamaa kwa mumewe.
  • Kuzaa kwa maumivu na mumewe kumtawala.

Mwanzo 3:16

3. Laana kwa Mwanamume (Adamu) na Ardhi

  • Ardhi kulaaniwa kwa sababu yake.
  • Kula kwa jasho, kufanya kazi ngumu yenye miiba na magugu, hatimaye kurudi mavumbini (kifo).

Mwanzo 3:17-19

Laana kwa Kaini labda ndo aliwazaa waafrika

  • Kulaaniwa kutoka kwenye ardhi.
  • Ardhi kutomzaa tena matunda, kuwa mkimbizi na mtangatanga duniani.

Mwanzo 4:11-12

5. Laana ya Kutotii Sheria / Agano

- Laana zote zitawapata wale wasiotii sauti ya Mungu.

  • Laana mjini na shambani, maradhi, kushindwa vitani, utumwa na umasikini.
  • Kumbukumbu la Torati 28:15-20

Hii inatuhusu
Mafundisho ya dini pia ni moja ya vifungo ambavyo watu wasio na hatima hujivika kama kifuli bila kujua hilo.
 
Another misconception ni kusema eti watu weusi tuna biological make up tofauti! Hapana

Ukienda kwa wenzetu sio kwamba watu maskini hawapo, sio kwamba hakuna addicts wapo, kila jamii lazima wapatikane watu wa namna ile..

Ila. Wamatumbi unachukulia hayo maisha ni kama hadhi na haki yetu, zaidi ya hapo labda mtu katoa kafara ama katumia waganga wa kienyeji au freemason

Ukweli ni kwamba utamaduni wetu pamoja na uelewa wetu wa maisha na tamaduni vimetufunga minyororo isiyo one kana.

Na elimu ya shule imekuwa kama wingu kuu la kujifariji kuwa tunaweza kufanikiwa wakati misingi bora huanza kipindi mtoto hata haja fikisha miaka 7
 
Back
Top Bottom