Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Ngozi nyeusi ina laana ya milele

Waarabu sio Wenzetu, wala usiwafananishe na watu weusi
Waarabu kitu wanatuzidi waafrika waliweza kuwa na herufi na namba zao na Mungu aliwapa deposit kubwa ya mafuta... Zaidi ya hapo sioni tofauti yetu maana na wao kutwa kuuana kwasababu za kindezi..

Ila na wenyewe ukiwaambia watengeneze (wacopy) kidonge cha 'Azuma' au 'Arv' hawawezi..

Tofauti na jamii za kihindi au kichina..wao wanaweza wakazidiwa na mzungu kwa ubunifu ila at least kwenye kucopy wapo vizuri ndio maana wanatengeneza magari yao, dawa zao, simu zao n.k.
 
Sasa hiyo kushindwa kuinteract na Wenzetu na kucompete nao tangu enzi hizo kibiashara na kiteknoloji ndio Upumbavu na Ujinga wenyewe

Hatukua Aggressive tangu zamani, Babu zetu walikuwa maboya, hawakuwa na Upeo, Umoja na Vipaumbele na hata sasa hatuna

Huo ndio Uzuzu wenyewe, ila hapa watu wanakataa na kuwatetea Wajinga.
Mkuu,

Ikitokea kwamba maendeleo makubwa sana yaliyokuja ghafla ya kibiashara na kiteknolojia yataangamiza dunia kwa global warming mpaka watu wote tukafa, tukaua na wanyama wote, watu weusi na mfumo wao wa maisha waliokuwa nao wataonekana kuwa bora kuliko dunia ya leo iliyo aggressive..

Professor Jared Diamond aliandika kitabu kizuri sana kuhusu habari hii kinaitwa "The World Until Yesterday: What Can We Learn from Traditional Societies?"
 
Wewe mwenye akili umefanya nini hapa duniani?

Au una akili kwasababu umefaulu Physics na Chemistry (Masomo yaliyotoka kwa wazungu) na ukajibu kwa lugha ya Mzungu na kuquote majina ya Wazungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unafikiri kufaulu "physics " ndio kuwa na akili basi tuna kazi kubwa ya kufanya!

Unauliza Nyerere ameifanyia nini dunia au Mandela? Are you serious?
 
Laana ipo kwenye ukoo wenu labda

Mawazo ya watu wajinga km nyie ndio mnafanya weusi tuonekane hatuna akili
 
Wewe Mwanamke sio Mpumbavu tu bali ni Zuzu

Tunaanza kupima mbali cognitively,

Swali: kwanini waende Harvard ,Hebrews, na Cambridge University na hao Wazungu wa huko waije kusoma huku kwenye vyuo vyetu?

Nimesema unitajie tu Ubunifu au Uvumbuzi mkubwa uliofanywa na dark skins unaousaidia dunia leo hii

Achana na maneno meengi yasiyo na tija na kujipa moyo
Mwanamke ni mama yako aliye lala na baba yako ukapatikana wewe kima.
Pili huwa sijadili kitu na watu wenye majibu yao kichwani tiali kaa na laana zako hizo unazoziamini.
Tatu huyo Einstein, Karl Max, Ben Carson huwaoni!?

Nne Fanya utafiti wa kile unachokiongea kama MTU mwenye akili kina vitabu vingi tu vinaelezea Africa soma achana na wishful thinking
Hiyo laana ukienda Harvard inapotea we kima!?
 
Angalia ulivyo Mpumbavu sasa

Eti Einstein na Karl Max walikuwa na vinasaba vya watu weusi

Huwa unasoma uongo unaoandikwa ili kuwapa matumaini watu weusi sio???

Hiyo mada tulishaijadili sana huku, Acha ujinga
Ndio maana nakuambia wewe ni tahira hujui kitu nimekuambia tafta vitabu usome wewe jing
 
Nenda uswahilini huko ukajionee maisha ya mtu mweusi, utagundua harakati za mtu mweusi ni sawa na harakati za pimbi.
 
Mkuu bado hujamjua mzungu vizuri!!!
Sijaona hata sehemu moja yenye mashiko kiasi cha wewe kutushusha thamani.
Sikumoja naamini utarudi humu kueleza mazuri ya wa Africa ni suala la muda tu.
Afrika ina mazuri mengi mkuu ila Waafrika wana laana ya milele
 
Hata suala la Mtu kutoka Portugal mwaka 1498 na kuja kwenye bara la Africa na kuichunguza na kukagua then aje tena baada ya karne 4 awatawale wote na kuwafanya Watumwa ni wazi kabisa kuwa Watu weusi walikuwa WAJINGA

Hatukuwa hata na ubunifu wa silaha nzuri za kujilinda dhidi ya wavamizi

Kama watu 7 mpaka 8 mnaweza kumbeba mkoloni mmoja kwenye ubao kutoka Tanga mpaka Kilimanjaro kisa tu ana gobole mkononi huo sio UTAAHIRA?

Acha kujipa moyo
Wewe mbwa koko historia yote inasema centre of modern civilization ilikuwa misri na watu wake walikuwa weusi Alexandria library ilikuwa ndio google ya miaka hiyo hao kina socrate, Plato pythogorus walifika huko.
Africa imeanza kudidimia baada ya uvamizi wa Alexander the great, ikaja kumaliziwa na rumi empire ukoloni ndio ukaizika kabisa.
Jamii forum imeruhusu wapumbavu kama wewe kuwa wengi haya maswali jaribu kuuliza quota kwa watu wenye akili
 
Waarabu kitu wanatuzidi waafrika waliweza kuwa na herufi na namba zao na Mungu aliwapa deposit kubwa ya mafuta... Zaidi ya hapo sioni tofauti yetu maana na wao kutwa kuuana kwasababu za kindezi..

Ila na wenyewe ukiwaambia watengeneze (wacopy) kidonge cha 'Azuma' au 'Arv' hawawezi..

Tofauti na jamii za kihindi au kichina..wao wanaweza wakazidiwa na mzungu kwa ubunifu ila at least kwenye kucopy wapo vizuri ndio maana wanatengeneza magari yao, dawa zao, simu zao n.k.
Hizo namba ni za wa hindu(Hindi) walipoenda walipoishinda hiyo empire ya wahindu na wakajimilikisha kila kila kitu.
 
Jibu hoja Kwa hoja iliyo Bora zaidi boss ni kitu gani tunaweza kujivunia hapa duniani kwamba ni ubunifu au ugunduzi wetu?

Nguo?
Bati?
Kalamu?
Karatasi?
Baiskeli?
Pikipiki?
Gari?
Meli?
Ndege?
Simu?
Mtandao?
Elimu? Embu tiririka mkuu
Hivyo vitano vya mwisho umeenda mbali sana huko.
 
Afrika ina mazuri mengi mkuu ila Waafrika wana laana ya milele
nakubali,
ngoja na mim nikikaa vizuri nitaandika madudu ya wazungu kama wewe ulivyoandika.

Hivi katika historia ya dunia naomba unieleze ubaya uliofanywa na mtu mweusi tangu dunia imeanzishwa?
Je mtu mweusi ni tishio au aliwahi kuwa tishio?

hayo madudu uliyotusema yanafanywa hata na wazungu huko ulaya.

STILL, KILL AND CONQUER .
white men ndicho walichofanya na ndicho wanachoendelea kufanya.

unataka nikuelezee jinsi gani dini zimetumanipulate nakutafanya tuwe hivi tulivyo anhaa?

Unajua Ancient African civilization were amazing and technological advanced than today .

STILL , KILL AND CONQUER .
White men are lying to you every single day wake up bro!.
 
dang!
ni steal
 
Babu zangu hawakuwa makande kama babu zako mkuu.
Makabila hatufanani.

Mimi ni chuma.

Hayo makabila unayo yasifu tuliyapiga fimbo kwetu.
Wewe kama ni Mtu mweusi ni walewale waliopatwa na laana
 
nakubali,
ngoja na mim nikikaa vizuri nitaandika madudu ya wazungu kama wewe ulivyoandika.

Hivi katika historia ya dunia naomba unieleze ubaya uliofanywa na mtu mweusi tangu dunia imeanzishwa?
Je mtu mweusi ni tishio au aliwahi kuwa tishio?

hayo madudu uliyotusema yanafanywa hata na wazungu huko ulaya.

STILL, KILL AND CONQUER .
white men ndicho walichofanya na ndicho wanachoendelea kufanya.

unataka nikuelezee jinsi gani dini zimetumanipulate nakutafanya tuwe hivi tulivyo anhaa?

Unajua Ancient African civilization were amazing and technological advanced than today .

STILL , KILL AND CONQUER .
White men are lying to you every single day wake up bro!.
White man Is the devilish man on earth. He steals he lie he kills just like his father the DEVIL.
 
Back
Top Bottom