Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Hata kama anapewa ushauri mbaya, akashindwa kuona ubaya wake, basi yeye ndie mjinga, hapo wasilaumiwe washauri.

Huyu mama yenu ana upendeleo wa wazi kabisa kwa waarabu, anayofanya sasa ni kuonesha kwamba anatumia nafasi yake kuwafurahisha ndugu zake huko Arabuni kwa kuwapa rasilimali zetu kama ni mali yake binafsi.
Mimi namuomba mama akiwekeze chama cha mapinduzi kwa waarabu milele Ili hawa kijani wawe na akili
 
Umezaliwal lini? Hukuwepo wakati Loliondo inauzwa na wakati huo Zenji imejiunga na OIC? Gazeti la kwanza kuripoti habari hii (Motomoto) lilifungiwa maisha na mmiliki wake kuwawa (RIP Stan Katabalo)? Ukiingia kule na simu unakutana na maandishi WELCOME TO UAE..!!
Nipe issue ya Ngorongoro.
 
Awamu hii waarabu wametupatia saiti wanatugonga kweli kweli, na mama hajali kitu amelewa madaraka anajua hata akitoka madarakani hashtakiwi kwa lolote na likatiba hili la hovyo basi ni kuuza Mali zetu kwa manufaa yao na familia zao huku wananchi mazombi tunachekea tu.
Inauma sana
Acha wauze tu baba angu.
 
Watanzania mnatakiwa mjue kuwa waarabu ni ndugu zet wa damu kabisa na kiimani.
Hata lugha tunayotumia ni ya kwako.
 
Yaani hapa nilikuwa nakula baada ya kusoma hili bandiko mmmh nikikutana na mwarabu yeyote hata wale wa sikonge mie nalipiza
 
Waarabu wanatufanya wanyonge sababu ya Petrodollars
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Stan Katqbqlo walimtenda kama ilivyokuja baadaye kwa Kashoggy.

Waarabu si watu wema
 
Stan Katqbqlo walimtenda kama ilivyokuja baadaye kwa Kashoggy.

Waarabu si watu wema
Hawa watu ni makatili sana sijui kwa nini mama anatukabidhi kwao kiulaini namna hii. Na kujinasua kwa Hawa watu tutateseka sana kama tukileta ujinga leo
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Usiseme uongo, usiichanganye loliondo na ngorongoro au na serengeti.

Loliondo kuna kitalu cha uwindaji kampuni ya Otelo ilipewa kwa kufata sheria kama kampuni zingine zilivyopewa. Tanzania ina vitalu vya kuwindia vingi tu. Mbona vingine huvisemi?

Ngorongoro ni hifadhi iliyoanzishwa mwaka 959 na kuwa moja ya urithi wa dunia ulio chini ya Umoja wa Mataifa (unesco).

Wamasai wanaokutwa hapo wanajulikana kuwa ni wahamaji na siyo wakazi wa hapo, hawatakiwi kuwa na makazi yao ya kudumu ndani ya ngirongoro. Kasome sheria iliyoanzisha hiyo hifadhi kabla ya uhuru mwaka 1959.

Hakuna mwenye ubavu wala msuli wa kuiuza nchi hii.

Ushahidi: Ngorongoro Conservation Area
 
Kwa hiyo wapi tunachukuwa visa kwenda Ngorongoro?
 
Back
Top Bottom