Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Hakuna maslahi kwa Mtanzania mhamaji kwenda kuishi na fisi ngorongiro crater akitafuta njia ya mkato ya kuomba omba.

Tusiwe wajinga, ngorongoro crater ibaki kuwa hifadhi ya wanyama, wamasai siyo wanyama.
Pengine hujui historia ya wamasai hapo ngorongoro, tangu wakiwa serengeti, wakamushiwa ngorongoro kwa makubaliano maalum, na mpaka kuundwa kwa NCAA.

Kama ni kuhamahama ni kuhamahama within Ngorongoro hiyohiyo, siyo kuhamia Bukoba au Tanga
 
Nimekujibu ilianza Ngorongoro.

Nini usichoelewa? Bila kuwepo ngorongoro pangekuwepo mmasai au NCA hapo?

Mmasai hapo ni mpita njia, hana makazi ya kudumu.

Ni kama wewe uende ufukweni ukaweke hema lako halafu useme, huu ufukwe wangu. Utakuwa mwehu kama lussu.

Jana wachaga wenzako wamebomolewa majumba ya kudumu mapinga, mbona huwasemei?

Nyie nsifikiri kabisa kwenye JF wote ni wajinga wenzenu.
Soma historia ya wamasai hapo ngorongoro halafu urudi hapa kukoment
 
Soma historia ya wamasai hapo ngorongoro halafu urudi hapa kukoment
Wamasai hao ni wahamaji tu.


Hakuna historia ya wamasai zaidi ya kuwa wahama hamaji.

Hiyo ni hifadhi kabla ya uhuru, sheria ya kuifanya hifadhi ipo wazi, kuwa wamasai ngorongoro ni "pastorals", unafahamu maana yake?
 
Hayo maeneo wengi wameamka sasa baada ya kuona ubovu uliopo kwenye ule mkataba wa bandari, ndio wakajua nini kilisababisha Ngorongoro na Loliondo navyo viondoke mikononi mwa watanganyika.

Hawa viongozi walioamua kutoa hiyo mikataba kwa waarabu ni wapuuzi kupita maelezo, hawajitambui, wabinafsi na wajinga wanaoigeuza ardhi ya Tanganyika kama keki yao wanayoweza kumgawia kipande yeyote wampendaye, ni wazi wameonesha kabisa vichwa vyao havina kitu ndani, hasara tupu.
Hasa huyu wa sasa anayeabudu waarabu na uarabu
 
Hili la Ngorongoro ni zito kuzidi limkataba libovu la bandari
 
Mamia kwa maelfu ya Wamasai wameuawa hapo Ngorongoro na kuzikwa kwenye kaburi la pamoja, so sad
 
Binafsi nasubiria 2025, na husika mkwe, hata ataishe wakurugenzi, wa toe hongo na kuwa shika Watendaji waibe kura, ajue itawacost, sisi tulio huku tushafanya maamuzi yetu na haturudi nyuma.
Kabisa ndugu, 2025 tutatumia drones kujihami na hawa maharamia mapolisiCCM
 
Hao ndio CCM, tukiendelea kuwachekea kuna siku hawa ccm watatuuzia humu ndani shauri yenu
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Pole sana sasa You have to something aisee
 
Umezaliwal lini? Hukuwepo wakati Loliondo inauzwa na wakati huo Zenji imejiunga na OIC? Gazeti la kwanza kuripoti habari hii (Motomoto) lilifungiwa maisha na mmiliki wake kuuwawa (RIP Stan Katabalo)? Ukiingia kule na simu unakutana na maandishi WELCOME TO UAE..!!
Aiseeh
 
Nimekujibu ilianza Ngorongoro.

Nini usichoelewa? Bila kuwepo ngorongoro pangekuwepo mmasai au NCA hapo?

Mmasai hapo ni mpita njia, hana makazi ya kudumu.

Ni kama wewe uende ufukweni ukaweke hema lako halafu useme, huu ufukwe wangu. Utakuwa mwehu kama lussu.

Jana wachaga wenzako wamebomolewa majumba ya kudumu mapinga, mbona huwasemei?

Nyie nsifikiri kabisa kwenye JF wote ni wajinga wenzenu.
Unakwepakwepa nin umeulizwa kati NCAA na wamasai kipi kilitangulia,jibu swali acha kurukaruka kama maharage jikon
 
Back
Top Bottom