Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Usiseme uongo, usiicganganye loliondo na serengeti.

Loliondo kuna kitalu cha uwindqji kampuni ya Otelo ilipewa kwa kufata sheria kama kampuni zingine zilivyopewa. Tan,Anna ina vitalu vya kuwindia vingi tu. Mbona vingine huvisemi?

Ngorongoro ni hifadhi iliyoanzishwa mwakq 959 na kuwa moja ya urothi wa dunia ulio chinibya Umoja wa Mwtaifa (unesco).

Wqmasai wanaokutwa hapo wanajulikana kuwa ni wahamaji na siyo makazi yao ya kudumu. Kasome sheria ilyoqnzishq hiyo hifadhi kabla ya uhuru mwaka 1959.

Hakuna mwenye ubavu wala msuli wa kuiuza nchi hii.

Ushahidi: Ngorongoro Conservation Area
Kwa hiyo kati ya NCAA na wamasai kipi kilianza
 
Ilianza Ngorongoro, wamasai hapo wanahesabika ni "pastorals" tu. Siyo wakazi wa hapo wa kudumu, wakachelewa miaka mingi wakaje ga majumba humo.

Sqsa wamejengewa nje wamepewa na eka za kulima na kuweka mifugibyao.

Washukuru serikali ya Tanzania ina huruma, thubutu ingekuwa bado wakati wa mkoloni kama wangejengewa nyumba za kisasa au wangepe1anmaeneo yao wenyewe na hati juu. Wangeswagwa nje ya hgorongoro wao na ng'ombe zao.
 
Nimekuuliza kati NCAA na wamasai kipi kilianza na sijakuuliza kati ya ngorongoro na wamasai elewa swali ACHA kukurupuka
 
Visa kachukuliani Dubai
Siyo unesco? Maana nikisoma naona ipo chini ya unesco, inasimamiwa nagorongoro Conservation Area is not under Tanzania National Parks (TANAPA), It is under Ngorongoro
urithi wa dunia. Siyo urithi wa wamasai wala wa Tanzania. Au unesco ya waarabu?
 
Huyu Mtu asingeshitukiwa na Mdude Chadema, Slaa, Mwabukusi na TEC tungeshitukia tumezungukwa na Waarabu kote kote.
Huku Bunge likishangilia.

Alipojipendekeza pale alipo sema ni Mjomba wa Waarabu ndo akawa kama Kondoo wa Waarabu.

Kila wanachosema Waarabu ni Ndi Ndio tu.
Kwakweli Hatufai.
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Binafsi nasubiria 2025, na husika mkwe, hata ataishe wakurugenzi, wa toe hongo na kuwa shika Watendaji waibe kura, ajue itawacost, sisi tulio huku tushafanya maamuzi yetu na haturudi nyuma.
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Mambo ya kutawaliwa na wazanzibari ni balaa tupu!
 
Nimekuuliza kati NCAA na wamasai kipi kilianza na sijakuuliza kati ya ngorongoro na wamasai elewa swali ACHA kukurupuka
Nimekujibu ilianza Ngorongoro.

Nini usichoelewa? Bila kuwepo ngorongoro pangekuwepo mmasai au NCA hapo?

Mmasai hapo ni mpita njia, hana makazi ya kudumu.

Ni kama wewe uende ufukweni ukaweke hema lako halafu useme, huu ufukwe wangu. Utakuwa mwehu kama lussu.

Jana wachaga wenzako wamebomolewa majumba ya kudumu mapinga, mbona huwasemei?

Nyie nsifikiri kabisa kwenye JF wote ni wajinga wenzenu.
 
Siyo unesco? Maana nikisoma naona ipo chini ya unesco, inasimamiwa nagorongoro Conservation Area is not under Tanzania National Parks (TANAPA), It is under Ngorongoro
urithi wa dunia. Siyo urithi wa wamasai wala wa Tanzania. Au unesco ya waarabu?
Who cares about UNESCO. Nchi ngapi huko duniani zinakubali kufungwa minyororo na UNESCO isipozingatia maslahi yao?

Samia ni rais wa Watanzania siyo wa Dunia.

Maslahi ya mchina na Mtanzania yakigongana lazima ayape maslahi ya mtanzania priority zaidi.
 
Umezaliwal lini? Hukuwepo wakati Loliondo inauzwa na wakati huo Zenji imejiunga na OIC? Gazeti la kwanza kuripoti habari hii (Motomoto) lilifungiwa maisha na mmiliki wake kuuwawa (RIP Stan Katabalo)? Ukiingia kule na simu unakutana na maandishi WELCOME TO UAE..!!
Gazeti lilikua mfanyakazi not motomoto

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Who cares about UNESCO. Nchi ngapi huko duniani zinakubali kufungwa minyororo na UNESCO isipozingatia maslahi yao?

Samia ni rais wa Watanzania siyo wa Dunia.

Maslahi ya mchina na Mtanzania yakigongana lazima ayape maslahi ya mtanzania priority zaidi.
Hakuna maslahi kwa Mtanzania mhamaji kwenda kuishi na fisi ngorongiro crater akitafuta njia ya mkato ya kuomba omba.

Tusiwe wajinga, ngorongoro crater ibaki kuwa hifadhi ya wanyama, wamasai siyo wanyama.
 
Nina wasiwasi na imani yako.
 
Back
Top Bottom