Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Kabisa lakini ukweli utaanikwa mchana kweupe
Mungu asaidie uanikwe mapema wamasai wanateseka sana ndani ya ardhi yao ndio maana unaona kuna makatazo mengi ya kuingia huko kujua ukweli serikali inajua kinachoendelea
 
Back
Top Bottom