Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Kauli ya mbunge
Your browser is not able to display this video.
 
Indigenous People - wanatambuliwa na @WorldBank hadi wana Sera. Ingawa jamii hizi wanaishi robo ya maeneo lakini WANALINDA 80% ya biodiversity ya dunia
Miongoni mwao ni waMaasai!
Sasa kama mnafikiri hili suala ni LOCAL subirini moto ukolee ili muelewe!
#TutaelewanaTu [emoji1434] https://t.co/RwsXOp4EUQ
 
Mimi sijui Kiarabu lakini nimemsikia mtangazaji huyu akitaja 'Loliondo', 'el Maasai fi Tanzania', n.k. Mwenye kujua Kiarabu anisaidie kujua anachosema. Inaelekea TV za Uarabuni zimeona kinachoendelea Loliondo lakini za Tanzania bado. As it was with Magufuli, so it is with Samia! https://t.co/E31jJuYduF
 
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Can't explain more..!
 

Attachments

  • FB_IMG_16561501922210368.jpg
    67.9 KB · Views: 24
Nakubali kabisa Ngorongoro kwishnei, Wamasai wanohojiwa sio wamasai wa Loliondo, wale hawajui kiswahili lakini hao tunaowaona kwenye TV wana kiswahili safi kabisa, hawana lokaria waliojipaka, nywele za salon, hawana hereni wala shanga na hawana rasta hata moja yaani hawana urembo wowote wa Kimasai na masikio hawaja toboa. Mbona Malaigwanani hawaonekani wakihojiwa kwenye TV? Hembu serikali iitishe kikao na Wamasai na Malaigwanani wa pale Ngorongoro na irushwe Laivu kwenye luninga tuone ukweli uko wapi. Swali la kujiuliza kule Msomero, Handeni shule zilijengwa lini? Nyumba zilijengwa lini? umeme umepelekwa lini mana sehemu kubwa ya Handeni hawana umeme na nani aliyetoa pesa zote hizo mana hatujawahi sikia serikali au TANAPA ikisema tunatenga bajeti ya kutayarisha uhamisho wa Wamasai kwenda Msomero. MUNGU ibariki Tanzania kama sio Tanganyika, punde tutaona Mkataba wa kubinafsisha Ngorongoro. Kisingizio cha Wakenya kuchochea mgogoro haina mantiki kwani kazi ya jeshi si kulinda mipaka? Kama Wakenya wanaweza kuingia Tanzania bila kuzuiwa basi ni kuwa hatuna walinzi wa mipaka yetu.
 
 
 
Labda ntakuwa nawarudisha nyuma kutokana na uwelewa mdogo,hiyo Ngorongoro iliyochukuliwa ni pamoja na kule crater au kuna kipande kingine ndio kimechukuliwa!maana kule crater hakuna wamasai...
 
Ipo siku utatolewa hapo sebuleni unapolala sababu shemeji ako atakuwa na jambo na dada yako kwa maendeleo ya ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…