Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Nimekusoma mamito umetishaje?shem anafaidi sana aisee manake we kwa hii makitu ya kustukiza haunaga utani.lol

Nimeona hapo mtaa wa saba unaandaliwa ngoma. Vipi nitapata kadi ya mwaliko au ni mambo ya kustukizana kama ilivyo ada?

wewe tena nisikupe kadit ya mwaliko nichekwe!
Itakufata hukohuko Mwita Maranya.
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapofanya jambo au kitu kizuri ni vema kumsifia kuliko kukaa kimya.unapomsifia mtu unamfanya awe anajiamini na pia unamfanya atambue mchango wake unavyowasaidia wengine.....anyway Bw.Mtambuzi wewe ni Genius kwa maana kila ninapofungua thread zako huwa najifunza mengi....Thanks alot mana unanifanya nijitambue,tunatambua mchango wako endelea na moyo huo huo...May God right your dreams.
 
Poti upo??

Tupe uzoefu zaidi tafadhali......

Poti tumo humu humu ndani ya JF, kinachonishangaza sana kale ka '' k '' watu wanakamaindi sana. Hivi ukikakata ukapime kwenye scale sijui katakuwa na mils ngapi hata robo kilo hakafiki. Poti ngoja nikimbie wenyewe wanaweza kuingia full swing sasa hivi

kama nimeelewa vizuri mada, huu mfano wako hatuwezi kuuingiza hapo. tayari wewe ulikuwa unawaza akilini mwako kuwa unaenda kutafuta kimwana huko maporini, haijalishi ni nani, lakini ulijua utapata.
hapa tuzungumzie ambapo wote wawili hamna hata akili ya kusema leo inawezekana hiki kikafanyika, mnajikuta tu mmefanya.... hii nadhani inatokea pia hata kwa wapenzi...... unakuta mmepanga twende sehemu kutembea, kutembea tu na hakuna anayewazia chochote kikatokea.....hata zana hamna, lakini ikatokea...............
DADA MKUBWA!mi siku hizi nina maswali mlongo wakooooo!
sasa hapa mbona kama unasema kwa eksperience ambayo ako vere kloz!au?nauliza tu!LOL!:rofl:
 
DADA MKUBWA!mi siku hizi nina maswali mlongo wakooooo!
sasa hapa mbona kama unasema kwa eksperience ambayo ako vere kloz!au?nauliza tu!LOL!:rofl:
ha haaaaaaaaaaaa, mlongo wangu nilikuwa nawaza tuuuuuu, lol!
 
tumblr_le6q356pef1qf1dmao1_500_large.jpg

ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

vema sana kiongozi,,zidumu fikra zako maridhawa

ila niulize japo kwa uchache namimi,kama mke wangu nimemuoa na kutoa mahari

suala la ngono si ni haki yangu na yake?

Ninapojiskia hamu na huduma hiyo kwa mke wangu nayy akawa hayuko ktk mood ya burudani akinipa sio kwamba nakua nimembaka au kuifananisha na huduma ya kahaba,besides me show yangu hata kama alikua hana mood lkn katikaTI ya safari utamu siku zote hua unamzidia na kubaki anajiuliza kwanini alikua anaweka pooozi pozi..
 
Naomba urejee uzi wangu huu hapa chini, labda naweza kujibu swali lako.......

https://www.jamiiforums.com/mahusia...umfikisha-mwanamke-kileleni-hizi-hapa%85.html
 
Mtambuzi natamani kukuona ,hivi bila ya haya makitu maisha yako yakoje mbona kama u natia huruma vile, una maisha mengine kweli

Una maanisha maisha nje ya mada anazotoa? Mtambuzi njooo huku ujibu tuhuma!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi natamani kukuona ,hivi bila ya haya makitu maisha yako yakoje mbona kama u natia huruma vile, una maisha mengine kweli

Aisee, mie maisha yangu bila hiyo makitu siku haziendi na ndio maana nina akili sana...
hebu chunguza sana wale vijana wa umri wako ambao wanajua kuwatumia mabinti ipasavyo kwa kufanya nao ngono jinsi walivyo na akili darasani.. basi hayo ndio matokeo ya Kungonoka lakini kwa kiasi sio kuendekeza, wewe muulize mama Ngina anaijua habari yangu mkuu...........
 
Ni kweli kabisa iyo ya kujikuta tayari mmeshafikia kufanya mapenzi bila kupanga ni nzuri na ina amsha zaidi kwani hata mi ilishawahi kunitokea in araha yake bwana kuliko ya kupanga unakuwa huna mzuka kabisa.
 
Mkuu Mtambuzi hii kitu ina faida na hasara zake!
Faida: ni kuwa utafurahia hii ngono yako ya ghafla kwa mtu ambae hamkupanga kufanya hiyo kitu, Ikiwa tu mtu huyo atakuwa msafi na atakuvutia na kukufurahisha nafsi yako mwanzo mpaka mwisho wa zoezi lenu. Iwe mwanamke au mwanaume.

Hasara: Utajutia nafsi yako ikiwa mtu unaefanya nae ngono mchana kutwa mijasho imemtoka mpaka kende zimenyea,kama mwanamke k imelowana mpaka imechacha ajaitia maji toka alfajili mchana kutwa anajisaidia bila kujisafisha, mivuzi imeota mpaka imekua kero kwa mwenyenayo.

Upande wangu mkuu kama mtu always anakuwa safi, sio usafi wa nje yaani ikitokea ghafla lakini yuko poa haina shida,
Tatizo mtu mwingine bila kumuandaa, akanyoa mwenyewe vizuri, akatafuta nguo zake za ndani zenye mvuto n.k n.k
Maana mwingine kajivalia chupi lake limetoboka anajua atamuona nani!? na ukiona inapunguza hali flani flani katika mapenzi hapo bahadae.

Mkuu hapa umenena kweli ila nina hakika kwa mwanamke atakayemtamanisha mwanaume kwa usafi wa nje mara nyingi pia ni wasafi kwa ndani!! My experience, loooooooooooooh!! Ila kwani ukimpata huyo mwanamke au mwanaume mkifika huko hotel au guest si kuna maji si mnaweze kuoga kwanza? Au unataka kusema unakamatia kichakani? Ila kwa wanawake wengi anayekubali game outright si kawaida sana unless ni kama ni commercial!! Dah haya mambo ni hatari sana!! Na siku hizi zile za first sight ni hatari maana UKIMWI nao ni nje nje!!! Bora hata mpimane ili angalao kuwe na ka uhuru fulani japo hata kama mkipima condom ni lazima maana mtu akiwa kwake hujui ayafanyayo!!
 
tumblr_le6q356peF1qf1dmao1_500_large.jpg

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

Ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

du! mm sipo hapo ila naona wasinzi wenzako washaanza kujimwaga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ngono nzuri ni gang sex na inapendeza zaidi ikiwa ni gang rape.
 
Je mtu anayebakwa,naye huwa anafurahia hii ngono!! Coz ni tendo ambalo anakuwa hajalifikiria kabla!
 
Back
Top Bottom