Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Huwezi jifunza haya makitu kwa kusimuliwa jaribu kupraktisi then utaelewa inanogaje lol

Ntapractise na nani sasa?Au maeneo gani yanalipa kufanya practise hiyo in town? teh teh teh....mi simo...kumbe wewe mtundu hivyo? Inaanzaje bila kuweka valuu kichwani...teh teh teh
 
Wa siku hizi hawakubali kuchojoa mkuu mpaka mpeane miadi na wakati mwingine wasitokee kabisaaaaaa
 
Dah Mkuu Mtambuzi umenikumbusha kitu nilichofanya last weekend nimekutana na kifaa kwenye pub mpya mtaani anamsubiri jamaa yake aje nikatoka naye nje kwenye kibajaji kukunja cha fasta nikasahau hata kuchukua namba ya simu.
 
Mmmh.... Mwanamke wakati wote inambidi awe msafi bana..! Wee unakutanaga na wanawake wa wapi hao wanaovaa nguo za ndani mtoboko mpaka unaogopa unplanned sex? Lol

Haujaelewa nilichoaandika! soma vizuri.

mambo ya kijijini kwenu usifananishe na mjini wewe nafikiri ukiangalia wanaume wote ni sawa kabisa katika swala la ngono wanaume hawa hawa ndio wanabaka vichaa, mataahira, watoto wao, wanafunzi ,vibi bi vizee ,sasa sijui huko mnakutaga chupi zenye mvutooooooo?????????????? mwanaume yeye hutafuta tobo lilipo hiyo yako yakutafuta chupi yenye mvuto baadae sanaaaaa.

Naona haujaielewa vizuri post yangu.

kuna vitu nimevisoma hapa hata sijui uhalisia wake........
wadada kama ni mvivu kabisa wa kunyoa basi angalau atanyoa mara moja kwa mwezi....sababu ya yale mambo yetu, sidhani kama mtu atataka akutane nayo akiwa na msitu, otherwise anaweza kufanya hivyo mara nyingi awezavyo.....sasa sijui huo msitu unaokutana nao unakuwa umehifadhiwa kwa muda gani? kama ni mwezi unaweza kuwa wa kuudhi kama ulivyoiweka? sijui.
nakumbuka mamangu alikuwa anatusisitizia sana kuvaa chupi nzuri na safi kila unapotoka maana huwezi kujua, barabarani ukasukumwa hata na mkokoteni then ukatakiwa kukimbizwa hospitali inakuwaje! kama una hiyo tabia ya kuvaa nguo safi basi hata ukikutana na mtu ghafla unakuwa upo vizuri.

Sio wote na hamuwezi kuniaminisha ya kuwa wanawake wote wanakuwa wasafi! na ndio maana nikatoa makundi mawili!

Mmmh! Haya asante. Sasa ntafanye ili nipate hiyo type ya ngono??
 
hebu tupange tukutane, halafu tushtukizane. labda hapo hapo research itakuwa done! unaonaje mkuu wangu Mwita Maranya??

Haina kwere mtu wangu cacico ndio maana nilikupendaga tangu siku nyingi.

Ngoja tufanye reseach halafu tutarudisha majibu hapa hapa live bila chenga.

Waswahili wasivyo na uvumilivu wameshaanza kutuonea gere. Wala usiwasikilize mamito nitakuPM kiwanja cha kufanyia mshitukizo!lol
 
Last edited by a moderator:

pamoko sana mwana! nitangojea mualiko kwa bidii bila papara! nitakuja kama kawaida ya kujuana urafiki, na hapo ndio muda muafaka utakuwa wa kukamilish research yetu! tutaenjoyje mautamu shtukizi!!!! watuwacheeeeeee!!
 
Habari yake muzuri kabisa,
kitu mswanuko.
Nipo tele hapa.
Kongosho anajiandaa na maswali ya kumkaba koo The Boss.
Yuko chimbo mkuu Mwita Maranya.
Chapchap ndo khabari ya mjini kwa time hzi.
Kujiandaa inahuu....

Nimekusoma mamito umetishaje?shem anafaidi sana aisee manake we kwa hii makitu ya kustukiza haunaga utani.lol

Nimeona hapo mtaa wa saba unaandaliwa ngoma. Vipi nitapata kadi ya mwaliko au ni mambo ya kustukizana kama ilivyo ada?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli nivea mimi nina mauzoefu tele ya kupiga vya chap chap enzi zangu lakini sasahivi nshakuwa baba watoto sithubutu tena kufanya hiyo makitu.

Najua na wewe una mauzoefu tele hasa ulipokuwa kule Arusha vijijini, sijui ni kwanini leo umeshindwa kufunguka kama ulivyofunguka juzi.

Hebu mwagika hapa kuhusu mauzoefu yako juu ya hizi ngono shitukizi.
soma #79 mimi huwa nasema ukweli sipindishi maneno na huwa napenda kueleweka jinsi nilivo.na ndio jinsi nilivonakumbuka siku moja kulikuwa na kikao chandugu yngu walikosana na mumewe akawa amerudi nyumbani sasa mimi ni mmja wawasulluhishi nikaona wanamkandamiza yule dada nikasema hivi hivi mama wewe unamkuta mmeo anato**a hapa nikarudia tena anato** kule wewe utabaki akuue na ukimwi je nyie wazazi wa kijana mnajua madhara yakuchomeka mtalimbo kila kila mahali nikawauliza mmja mmja wakasema oh ukimwi nikawaambie there ua sasamnataka ndugu yangu afe??? ka mwanenu kujifanya rijali kimya nikawaambia mwacheni akat**ne mpaka akichoka atatulia .mpaka namaliza kusema walibaki wazee 2 kati ya 15 na ile ndoa ikavunjia palepale ilikuwa sio rasmi yule kijana alikuwa too muchi na sasa hivi na watotio5 kila mmja namama yake bila ndoa rasmi .je ningerembesha maneno pale ndugu yangu angekuwa wapi sasa?
 
Lol nivea nimekukubal shost

Babu weeh mie nko sitimbi hayo maeneo yenu ya mjini siyafaham,hebu mwulize lara 1 atakupa mitaa
Ntapractise na nani sasa?Au maeneo gani yanalipa kufanya practise hiyo in town? teh teh teh....mi simo...kumbe wewe mtundu hivyo? Inaanzaje bila kuweka valuu kichwani...teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
100 4all status ila kiupande wang ilishawah kunitokea time flan za9t na dem flan hv dah hyo k2 nliiependa kuwa nilihc nmeenjoy but your girl haimkufurahsha coz kmada cha ahad.
 
Sijambo shoga, humu duniani kuna mambo jamaa.......
Ciello shost wangu hujambo lakini .kuna mahali inafika if u cant convience them comfuse them baaaaasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom