Ngono: Kwanini tumei-demonize?

Ngono ni kama kufanya matendo mengine ya mwili kama kula,kunya,kunywa etc
lakini tendo limepewa uzito wa ajabu 😏😏
Hakika na jamii bado haina utambuzi kuona kwa mapana namna jambo hili ndo sababu ya matatizo mengi yatokanayo na ngono,

Tunajaribu kuifanya ngono kuwa ndo chanzo cha matatizo wakati, ni watu husika kukosa elimu, kuwa maskini, kukosa uhuru na kufanya ngono kama sehemu ya kutafta pesa.
 
Ngono imepewa hadhi ya kuogofya hata kulitamka tu ukakasi sana ili hali watu wanalipenda sana πŸ˜‚
 
 
Na waelewa sana wakuu, ila Je tatizo ni kitendo cha ngono au mindset ya wale wafanyao ngono?
 
Viumbe vyote chini ya jua vinajamiana ni tendo la lazima
wewe na mimi ni matokeo ya wazazi wetu kujamiana au kufanya ngono ndio tukazaliwa

kasome biology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…