Hahaha ila pia kumbuka molarity aspect ya maamuzi unayo Fanya. Hauwezi kuruka na mtoto wa mtu aliye chuoni na ukaharibu ndoto zaakeKwenye hili swala hakuna mchungaji, Katekista, shekhe wala mtoa huduma na nasaha atakayenipangia
Mizuka ikipanda naruka na yeyote wa level yangu yeyote, siku nikipata wa kuoa (kama wapo lakini) ndo ntatuliza dudu
Karne ya 21 propaganda za dini na siasa zinafanya kazi kwa wachache
Kwa maFree thinker hazina kazi tunazichungulia kwa mbaali zinavyowawehusha brainwashed mpaka huruma
Ndo maana nikasema wa level yangu mkuu, mwenye shida (ugwadu) kama mimiHahaha ila pia kumbuka molarity aspect ya maamuzi unayo Fanya. Hauwezi kuruka na mtoto wa mtu aliye chuoni na ukaharibu ndoto zaake
Sio dhana potofu hata tu kwa ustawi binafsi unalazimika kujitenga na ngono kwa kipindi fulani,kukwepa gharama,magonjwa na kuokoa muda na mimba zisizo tarajiwa lakini ndio hivyo sex desire is uncomfortable kwa tulio wengi ndio maana ngono haikubaliki na jamii japo inafanyikaNi kwasababu ya dhana potofu tukio jiwekea
Inafikirisha...Sio dhana potofu hata tu kwa ustawi binafsi unalazimika kujitenga na ngono kwa kipindi fulani,kukwepa gharama,magonjwa na kuokoa muda na mimba zisizo tarajiwa lakini ndio hivyo sex desire is uncomfortable kwa tulio wengi ndio maana ngono haikubaliki na jamii japo inafanyika
Si mbaya kwamba huoni madhira yake mitaani au umelewa mkuuInafikirisha...
Ustawi binafsi unawezaje kutwnguliwa na ngono... Sijasema uraibu wa ngono amabo kweli una madhara.
Sex desire Sidhani kama ni mbaya ila connotation behind maana yake. Dini nyingi haziruhusu kutamani na hiyo pia huchangia
Mmbwa wenyewe wanasex saa wanatafuta watoto, binadamu unashindwa na mbwa?Kwani haja zingine za mwili zahitaji cheti? Kwa nini iwe kwenye sex drive pekee?
Nakazia it's like ushetaniNgono ni kitu cha hovyo ni vile tu sex drive zinatuvuruga
ππ―π―Kwenye hili swala hakuna mchungaji, Katekista, shekhe wala mtoa huduma na nasaha atakayenipangia
Mizuka ikipanda naruka na yeyote wa level yangu yeyote, siku nikipata wa kuoa (kama wapo lakini) ndo ntatuliza dudu
Karne ya 21 propaganda za dini na siasa zinafanya kazi kwa wachache
Kwa maFree thinker hazina kazi tunazichungulia kwa mbaali zinavyowawehusha brainwashed mpaka huruma
Je, unacho kiongelea ni matokeo ya kukosa uhuru kwenye ngono au demonization ya ngono?Mkuu, sex si kitu kibaya kama sex, shida ni kwamba inatakiwa kwa utaratibu ili kuepuka mambo kama magonjwa ya ngono na kuleta watoto duniani huku mkiwa hampo tayari. Kama ambavyo chakula si kibaya ila ukila pasipo utaratibu unajitafutia kisukari na presha. Cha muhimu utaratibu ufuatwe maana sisi ni binadamu.
Siku ukimuona mgonjwa wa Syphilis anavyopiga mayowe wakati anachomwa ile sindano ya matibabu hamu ya sex itakata nakwambia na utajishangaa kwanini ulianzisha huu uzi.
π π πNakazia it's like ushetani
Watu wazima wawili mpo uchi mna Hangaika kama wehu
Nimekosa jina jingine la kupotray hapo , lakini ukitazama hicho kitendo honestly ni ushetani mtupu fikiria kuwa mshua wako yupo naked halafu anapigwa BJ au ana suck pussy πππUshetani kwa sababu ya dhana potofu tulojiwekea