Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

Ngono kabla ya ndoa ni ubatili, ni ubatili mtupu.

Ngono inakupeleka kwenye muunganisho wa kina. Unaunganishwa kwa kemikali na mtu ambaye labda hautawahi kumpenda au ambaye hata sio mzuri kwako. Usichanganye kemia kwa upendo.

Tulia hadi siku ya ndoa yako ndio ufanye ngono na mwenza wako.

Ubarikiwe
🪓🪓🪓🪓🪓
 
Eti alioa na hakutorosha, tuambie wale vimada 300 aliwaoa kwa mahari ipi
Mahari ni makubaliano hivyo king Solomon alipomchukua suria yeyote walikubaliana naye na alimtunza yeye na wanawe.

Hiyo ndiyo mahari ya king
 
Kwatafsiri hiyo ,mabint waolewe TU baada ya kuvunja ungo(miaka14/16)

Nawanaume wakifikisha miaka 18 waoe kwalazima ,Kwa muktadha wasasa kutunza bikra ningumu nisawa na kuona uke wa mama mzazi baada ya kufikisha miaka 5
 
Sasa kama mahari ni makubaliano iweje leo useme watu waliokubaliana kukaa pamoja kama mke na mume,pasipokupitia kwenye makanisa yenu mseme sio ndoa? Na kwani ndoa ni nini? Eroo
Makubaliano ya wawili kuwa pamoja kama mume na mke pasipo makubaliano ya wazazi pande zote huo ndio ubatili mbaya kabisa.

Ndoa ili iwe ndoa halali sio lazima ifanyike kanisani ama msikitini.

Makubaliano ya wazazi pande zote mbili huhalalisha ndoa kuwa ni rasmi na unaruhusiwa kuchukua mkeo.

Hizo mambo za sherehe sijui za harusi huwa mbwembwe tu 😂
 
Back
Top Bottom