Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

Mahari ni makubaliano hivyo king Solomon alipomchukua suria yeyote walikubaliana naye na alimtunza yeye na wanawe.

Hiyo ndiyo mahari ya king
Sasa hawa tunaowaopoa kitaa una uhakika gani kama hatuwafanyii hayo aliyofanya Suleiman Babaa wa imani? Kumbuka hakuna jipya chini ya jua, haya yote ni cnp ya hao manabii na mitume wa enzi na enzi
 
Umetunga sheria au unapendekeza tu [emoji23]
Sipendekezi ,kwenye Sheria ya ndoa nchini Tanzania inasema hivyo kwasasa imefichwa na kitu kinaitwa mwanafunzi ,Sheria hiyo IPO Toka enzi form one ,hazikuwepo zakutosha na haijafutwa

Na
Prof kabudi alikataa waziwazi kuifuta akiwa waziri Sheria na katiba.... Hivyo kivuli Cha NG'O na shule zakata zimeifunika kidogo kwazama hizi
 
Sasa hawa tunaowaopoa kitaa una uhakika gani kama hatuwafanyii hayo aliyofanya Suleiman Babaa wa imani
Mngekuwa mnawafanyia hayo wala kusingekuwepo na lawama kwa wanaume. Shida yenu ni ku hit kisha mna run, hamko tayari kuwajibika kwa mahitaji, hivyo mmeharbu kabisa sifa kama aliokuwa nazo king Solomon
 
Makubaliano ya wawili kuwa pamoja kama mume na mke pasipo makubaliano ya wazazi pande zote huo ndio ubatili mbaya kabisa.

Ndoa ili iwe ndoa halali sio lazima ifanyike kanisani ama msikitini.

Makubaliano ya wazazi pande zote mbili huhalalisha ndoa kuwa ni rasmi na unaruhusiwa kuchukua mkeo.

Hizo mambo za sherehe sijui za harusi huwa mbwembwe tu [emoji23]
Je kama mimi nilipewa binti na wazazi wake baada ya kumpa mimba,na wazazi wetu kufahamiana na hakuna cha kwenda kanisani,huyo si ni mkewangu sasa?
 
Ngono kabla ya ndoa ni ubatili, ni ubatili mtupu.

Ngono inakupeleka kwenye muunganisho wa kina. Unaunganishwa kwa kemikali na mtu ambaye labda hautawahi kumpenda au ambaye hata sio mzuri kwako. Usichanganye kemia kwa upendo.

Tulia hadi siku ya ndoa yako ndio ufanye ngono na mwenza wako.

Ubarikiwe
Ktk Dunia hii au nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom