Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

Ngono kabla ya ndoa ni ubatili mtupu

MALAKI 1:9

Na sasa, nawasihi, ombeni fadhili za Mungu, ili atupe neema; ikiwa jambo hili limetoka katika mikono yenu; je! Atawakubali nafsi zenu? Asema Bwana wa majeshi.

HILO NDILO NENO LA MUNGU
Asante baba mchungaji
 
Alikibariki sana tuh
Ila wazazi wamegeuza ndoa biashara
Mabinti wamegeuza ndoa kipato
Wanaume wamegeuza ndoa udanganyifu. Ndoa imekuwa kifo. Ndoa imejibatilisha yenyewe.
Sawa hao Ni baadhi ya watu wasiojitambua huezi kutumia hao kuicrush NDOA! Kizazi kijacho kitakuaje sasa? Huoni kutakua na wimbi la single mothers na Street children?
 
Watu wengine sijui wapoje yaan mm nazagamua kivyangu, natumia garama zangu, muda wangu afu jitu limeshiba mapera huko linakuja kusema mambo ya ajabu
Pumzi unayotumia kutafanya yote hayo haitoki kwko lakini!
 
Ngono kabla ya ndoa ni ubatili, ni ubatili mtupu.

Ngono inakupeleka kwenye muunganisho wa kina. Unaunganishwa kwa kemikali na mtu ambaye labda hautawahi kumpenda au ambaye hata sio mzuri kwako. Usichanganye kemia kwa upendo.

Tulia hadi siku ya ndoa yako ndio ufanye ngono na mwenza wako.

Ubarikiwe
Huyo mwenzi Sasa hv analiwa na kula balaa,
Ukweli ni kwamba vijana wengi wanaanza mapema sana,
 
Tuanzie hapa, uyo mwanamke unayemuoa ni Bikra?? Je na wewe mwanaume ni Bikra?? Kama wote ni bikra hapo sawa.
 
Back
Top Bottom