Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

Kwani seminary mnafanywaje
Nasikia wale wavaamakanzu bdio food yao
bahati nzuri seminary hata ukikutwa umelala kiajabuajabu peke yako, unafukuzwa. tofauti na wengine huko madrasa wananyanyaswa sana kingono. i am glad haujatengua kauli meaning umekubali mnapaswa kubadilika.
 
Ila hizi dini hizi
KWa elimu duni mlio nayo mnajua kila muarabu ni muislamu, na kila nchi iliyopo middle east ni waislamu wote, hamjui kama hapo jordan tu raisi miaka yote anatakiwa awe mkristo kwa sababu ya uingi wa wakristo walioko jordan huo ni mfano mmoja tu naokupa
Embu jitahidini muelimike, na watu kama nyie ndio mbadhani israel ni wakristo huku palestina ni waislamu, bila kujua kwamba israel ina waislamu wengi mara kumi ya wakristo , huku kusema yesu ni mungu ni kosa la jinai israel
 
Wapi wametajwa Waislam?
 
Uislamu ni dini ya kimataifa inayofuata mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) na Kitabu Kitakatifu cha Qur'an.

Uarabu ni kabila au utambulisho wa kikabila na kiutamaduni, unaohusiana na watu wanaozungumza Kiarabu kama lugha yao ya asili, hasa kutoka Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini.
Umewakataa??
ila ni kweli, shida huwa mnatetea watu na sio dini..
Dini huwa inasema vingine halafu watu wanatetea mwarabu.
Waarabu wengi wao
 
Back
Top Bottom