Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Bora hii...
Kuliko ile ya Kiba na Omary Nyembo..!
Hhh, unafiki ni mbaya,, kajiandae iko poa jamani, msiwe na ushabiki wa ajabuajabu,,.narudia tena,, huu wimbo wa diamond sidhani Kama umekamilika,, labda tuusubiri mwingine,am nat his fan lakini hajafikia hatua ya kutoa wimbo wa hivi
 
Haters gonna hate [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] nimegundua diamond unawanyima sana usingizi vibaraka uchwala wa tembo goooooo chibu
 
Haters gonna hate [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] nimegundua diamond unawanyima sana usingizi vibaraka uchwala wa tembo goooooo chibu
Si unaona qalivojazana afu wimbo wwnyew demo cyo official release lkn mishipa ilivowatoka.....mind anawanyima usingizi

[HASHTAG]#tunatusua [/HASHTAG]kimataifa bila international lebel like sonny and so ever
 
Tamntalila nyingi kumbe wimbo wenyewe ndio huu si bora nisikilizejao singeli maana nyimbo inaswemwa ni collabo ya kimataifa wakati beat wala haijashiba melodies mbovu anayeimba afro pop kafos aimbe rNb anayeimba rNb kajilazimisha kuimba afro pop
 
Umeandika nini sasa hapo?
 
mkuu umeandika nini sasa mbona kama hii lugha ni yakigiriki?
 

Una balaa wewe?
Sio kwa ushawishi huu!Nitausikiliza mara 1 tu!
Happy now?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Tamntalila nyingi kumbe wimbo wenyewe ndio huu si bora nisikilizejao singeli maana nyimbo inaswemwa ni collabo ya kimataifa wakati beat wala haijashiba melodies mbovu anayeimba afro pop kafos aimbe rNb anayeimba rNb kajilazimisha kuimba afro pop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hivo vibaya sasa mkuu!
Eti bora singeli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Iwant to marrioooooooo ptuuuuuuuu uchafu mtupu!!
 
Ali kiba anafanya muziki ili apate maisha while diamond anatafta maisha kwenye muziki(kama hujaelewa usi quote)
 
Nare nareee wanapika majungu mi najenga vibanda rrraaaaa waambieni dada zenu kariakoo waje ulayaaa chafu kabisa roho mbayaaaa jini simbaaa jikusanyeni woteeee mkuje huku fireeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] wale wa mara ooh mark my word, time will tell, who the hell are you[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] mtakufa na roho za uchawi ni mwendo wa kuwanyoa viparaaa tu na vichupa team uzishu uchwala team vima wamejikusanya ku diss na bado bandika bandua mpaka tuwa kute ICU roho za kishirikina tu kwa chibuu mr fireeeee lazima Muungue iyo inaitwa weka mbali na watoto
 
Wimbo wa hovyo kabisa..kapiga makelele tu humo!!
 
Sijui kwanini Ne-yo amekubali chorus kuwa ya hovyo namna hiyo.

Diamond amekomaa na hiyo sentensi moja "I want to marry you" hana muendelezo au ni uhaba wa vocabularies?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…