Je harmonize kaingia katikati ya diamond na alikiba

Je harmonize kaingia katikati ya diamond na alikiba

baliyanga

Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
9
Reaction score
8
Mwanzoni ilikuwa kuna mashabiki wa pande mbili kwenye muziki diamond na alikiba .ila hivi sasa ukizunguka maeneo mengi hata discussion nyingi zimekuwa ni diamond na harmonize hivi sasa mitaan au kwenye mitandaon harmonize ametengeneza loyal fans ambao wao huko nyuma either walikuw hawamkubali diamond au walikuw neutral au walikuw fans wa kiba .Alikiba amekwama sehem sijui imesababishwa na nini either yey mwenyew au namna harmonize alivyondoka wcb na kujenga kijiji chake
 
Back
Top Bottom