Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Hapa hakuna kitu....Ukitoa Number one na davido huyu jamaa ajafanya International Collabo Ikawa wimbo wa maana.

Shake ur Bum Bum na Iyanya ilikuwa mbovu.
Kidogo na P.square Ngoma mbovu.

Nana na Flavour ndio kidogo alijitaidi.

ngoja tuone international collabo nyingine ila mpaka sasa amna kitu hii itaishia kutamba youtube tu.
 
Huo wimbo sijausikiliza bado. Ila sio mzuri. Beat na audio haviendani . nahic hiyo ngoma ilitengenezewa getoni kwa ne-yo.
 
Sijawahi kuponda nyimbo za diamond ila kwa wimbo huu hapana kabisaaaa.... Nyimbo mbayaaaaa utasema kaimba underground!!!! Bora agairi kuurelease tuuu maana ni aibu
 
Hawa jamaa wakiambiwa ukweli wanakuona hater. Ila ukweli utabaki palepale huu wimbo ni mbaya.
Basi watu tunatofautiana sana...
Mimi binafsi tangu nizaliwe sijawahi kusikia NGOMA tamu kama hii ya Diamond na NeYo..!
Tangu jana naisikiliza tu,mpaka nahisi nimeanza kuwakera watu hapa napoishi..!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sijawahi kuponda nyimbo za diamond ila kwa wimbo huu hapana kabisaaaa.... Nyimbo mbayaaaaa utasema kaimba underground!!!! Bora agairi kuurelease tuuu maana ni aibu
Basi watu tunatofautiana sana...
Mimi binafsi tangu nizaliwe sijawahi kusikia NGOMA tamu kama hii ya Diamond na NeYo..!
Tangu jana naisikiliza tu,mpaka nahisi nimeanza kuwakera watu hapa napoishi..!
 
Team zenu za kijinga sana, wivu hata vingine vinavyoshinda wivu, kwa ujumla diamond amefanya ngoma kali sana ijapokuwa inaonyesha km sio official kama imeungwa ungwa hivi..
 
Team zenu za kijinga sana, wivu hata vingine vinavyoshinda wivu, kwa ujumla diamond amefanya ngoma kali sana ijapokuwa inaonyesha km sio official kama imeungwa ungwa hivi..
Nashangaa wanaosema hii ngoma mbovu kwl tunatofautiana mm naona ngoma Kali sana......huu utimu umetufunga sana na ukiangalia wanaoupinga huu wimbo wengi na mashabiki wa king anaeish kwa mama ake
 
Nyimbo nzuri ila aliyeivujisha kamshusha sana diamond quality yake haina tofauti na mnanda
 
Nashangaa wanaosema hii ngoma mbovu kwl tunatofautiana mm naona ngoma Kali sana......huu utimu umetufunga sana na ukiangalia wanaoupinga huu wimbo wengi na mashabiki wa king anaeish kwa mama ake
Nyimbo inajirusha rusha kama bisi jikoni
 
Hii ngoma nadhani itasumbua sana kwenye charts za Billboards, Leo sijaenda kanisani tangu asubuhi naireplay tu, hata kula sikuli niko bize naserebuka na huu wimbo, kesho kazin siendi nishamuomba bosi ruhusa, nitakuwa bize kuendelea kuserebuka na huu wimbo wa kimataifa
 
Back
Top Bottom