Big Deal
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 174
- 79
Hivi Salome nzuri eh?wabongo bhana ngoma ndio imetoka umeshajaji vibaya! hata salome mlisema hivo!
Leo yako wapi?
Hivi Salome nzuri eh?wabongo bhana ngoma ndio imetoka umeshajaji vibaya! hata salome mlisema hivo!
Leo yako wapi?
Kule wanasaini waimbaji siyo madensa bro!Acha dawa iwaingie.....domo hategemei sony wala nn anapasua anga tu bila international lebal
Kwa hiyo unajiona na ww umwfikiriaaaaaaa umeumiza kichwa kichizi daah wabongo bhanaAli kiba anafanya muziki ili apate maisha while diamond anatafta maisha kwenye muziki(kama hujaelewa usi quote)
Povu sasa imepenya iyoooKule wanasaini waimbaji siyo madensa bro!
Wabongo wqkiambiwa ukweli has povu haya povu mzee endelea kusubir MRISHO NGASA asajiliwe REAL MADRID au BARCELONA.Povu sasa imepenya iyooo
Ivi Sony ambayo hadi nakaya, rose muhando alikuwemo unajisifia eti unaifananisha na barca labda barca ya tandaleWabongo wqkiambiwa ukweli has povu haya povu mzee endelea kusubir MRISHO NGASA asajiliwe REAL MADRID au BARCELONA.
Sana! We unaionajeHivi Salome nzuri eh?
Leta huo wako au unaofikir nzuri tuuoneTumugope shetani jaman wimbo mbayaaaaaaaa kama wimbo wa mchaka mchaka wa mgambo
Me fani yangu kusiliza na kusema mbaya au nzuri upo apo mkuuLeta huo wako au unaofikir nzuri tuuone
sawa basi badili ile comment sema "namuogopa shetani" sio tumuogope na nani?Me fani yangu kusiliza na kusema mbaya au nzuri upo apo mkuu
sawa basi badili ile comment sema "namuogopa shetani" sio tumuogope na nani?

Its a bad songAnha ha ha ha ha haaa/........ imebidi ncheke tu,. endeleeni kuuponda ndo mwazidi wafanya watu waufuatilie. mwisho wa siku mwamzidishia mpunga u tube.
This song is worse than ile ya christian bella na kofiPussy.......
mambohaya bana
Pouwa za kwakomambo
shwari, nakupendaga bure...! Kila nikiona coment yako, roho yangu inakuwa buraudani kabisa, yaani muruwaa....Pouwa za kwako
Nakupenda pia mkuu burudika tu maisha yaendeshwari, nakupendaga bure...! Kila nikiona coment yako, roho yangu inakuwa buraudani kabisa, yaani muruwaa....
Hata mi nakupendaga we miss mchagaNakupenda pia mkuu burudika tu maisha yaende
Nakupenda zaidi chief1 ..Hata mi nakupendaga we miss mchaga
fanya nikuone basi...... kamandaNakupenda pia mkuu burudika tu maisha yaende