Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

hiyo ngoma haija achiwa kwa bahati mbaya kaka,tecnically ni kuuzima ule wimbo wa bwana mahipsi na Ali.
hebu acha kusikiliza story za facebook huko! zamani sana hata kabla ya hiyo collabo ya ommy na alikiba haijafanyika mond alishasema atatoa wimbo wake na neyo kabla ya tour yake huko unyamwezini mwezi ujao
Itafte interview yake na wekend chatshow
 
How old are U?
 
Sasa sijui imevijaje wakati Bbc1extra wanaipiga hiyo nyimbo
 
I want to marry yoo...domo kwa nini ana imitate wanaija sana mpaka anabore.... Zama zinakwishwa mark my words kama AY
 
Wimbo uko pouwa, ila hii nahisi itasahaulika mapema maana ni moja ya zile Bubble gum music
 
The game changer himself kwenye majukumu yake yakuendelea kuwafundisha wasanii wenzke nini maana ya burudani.
 
Back
Top Bottom