Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Na humu siku hizi kumekuwa kama instagram na facebook...duuh TCRA waje wakamate hawa watu wasio na staha..watu kama mmezaliwa na matusi..hii ni laana ..tuache ushabiki wa aina hii..!! Badilikeni wote mnaotukana...ni aibu kubwa..!!
 
Na nilicomment hivi makusudi nione utasemaje...target ilikuwa wewe

Sisikilizi,labda niusikie kwa bahati mbaya.

Usikilize nakuahidi hatajutia kuusikiliza, ni noumeeerrr!! Chibu kama kawaida yake ametupia mistari kuntu;

"Ooohh baby hadithi hadithi utamu kolea, ooohh baby mi najihisi hamu kuongea, ooohh baby yale yaliyo ndani ya mtimaaa nikuelzeee.......... I want to marry you ooohh la la la ooh la la la, I want to marry you oohh la la la ooh la la la.."

Kama vipi nikutumie aisee! Nimeuweka repeate toka Jana.. Hii ngoma Balaaaa
 
Na humu siku hizi kumekuwa kama instagram na facebook...duuh TCRA waje wakamate hawa watu wasio na staha..watu kama mmezaliwa na matusi..hii ni laana ..tuache ushabiki wa aina hii..!! Badilikeni wote mnaotukana...ni aibu kubwa..!!
tcra haiusiki na mambo ya burudani
 
Na humu siku hizi kumekuwa kama instagram na facebook...duuh TCRA waje wakamate hawa watu wasio na staha..watu kama mmezaliwa na matusi..hii ni laana ..tuache ushabiki wa aina hii..!! Badilikeni wote mnaotukana...ni aibu kubwa..!!
Mkuu...
Angalia posts za nyuma kidogo utajua ni nani chanzo cha tatizo...
Mtu ananitukana kisa nimerudia posts za kuusifia wimbo wa Diamond..!!!?
Huwa siwezi kuvumilia matusi..!
 
Mwimbo mbaya
Anha ha ha ha ha haaa/........ imebidi ncheke tu,. endeleeni kuuponda ndo mwazidi wafanya watu waufuatilie. mwisho wa siku mwamzidishia mpunga u tube.
 
Basi watu tunatofautiana sana...
Mimi binafsi tangu nizaliwe sijawahi kusikia NGOMA tamu kama hii ya Diamond na NeYo..!
Tangu jana naisikiliza tu,mpaka nahisi nimeanza kuwakera watu hapa napoishi..!
Hizo zitakuwa bangi mkuu....nakushauri acha haraka kabla aijakuletea matatizo.
 
Mimi sjamimi Kama huu ndio wimbo wenyewe, labda kuna mwingine unakuja,nawaza labda hii ni kiki ya kuutoa wimbo wenyewe!,
 
Back
Top Bottom