- Thread starter
- #101
Hii imevuja bado official release haijatoka usiwe na haraka kujaji vtu....kuna vitu kibao havijakamilika so tuliza mshonoNaona haujanielewa mkuu. Ni hivi mimi sina team kwanza. Halafu kama wimbo sio mzuri lazima niseme sipendi unafiki. Kajiandae, kidogo na huu wa diamond feat neyo zote hakuna kitu. Zinahitaji team zilizojaa unafiki ili zipate KICK ila ukweli unabaki pale pale nyimbo ni mbaya.
Sent from my HTC Desire 816 using JamiiForums mobile app