Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ivi Sony ambayo hadi nakaya, rose muhando alikuwemo unajisifia eti unaifananisha na barca labda barca ya tandale
Hujielew kumbe omba ueleweshwe bro from afrika wasanii walosain global deal na Sony n wawili tu ambao ni davido na Ali kiba...elewa maana ya "GLOBAL DEAL" hiyo walosaini akina rose muhando sijui nakaaya sumary was "AFRICAN DEAL" yaan muziki wao ungesambazwa afrika pekee bt ALIKIBA na DAVIDO muziki wao utasambazwa DUNIA NZIMA na SONY..so mnyonge mnyongen haki mpen and we have to stand at the middle anapofanya mtu zur mpongeze akikosea mkosoe so as to make sure that Bongoflavour keep growing.
 
Tokea juzi nimeusikikiza huu wimbo..sitaki kuamini kama ndo official release aisee. Diamond hawezi kuchemka kiasi hiki, wimbo ni mbovu sana.
 
Iyo ni demo cyo official afu tokea juzi unausikiliza basi kama ingekuwa mbovu ungesikiliza Mara moja ukatupa kule
 
Hujielew kumbe omba ueleweshwe bro from afrika wasanii walosain global deal na Sony n wawili tu ambao ni davido na Ali kiba...elewa maana ya "GLOBAL DEAL" hiyo walosaini akina rose muhando sijui nakaaya sumary was "AFRICAN DEAL" yaan muziki wao ungesambazwa afrika pekee bt ALIKIBA na DAVIDO muziki wao utasambazwa DUNIA NZIMA na SONY..so mnyonge mnyongen haki mpen and we have to stand at the middle anapofanya mtu zur mpongeze akikosea mkosoe so as to make sure that Bongoflavour keep growing.
Ww ndo hujielewi davido alisain mkataba na sony pande za state ambako kuna izo office za sony worldwide lkn kiba yy alienda kusain south Africa ambako ndo makao makuu ya sony africa...tofauti nyingne global deal na sony huwa wanatangaza wameingia na ww mkataba wa miaka mingp na kwa bei gan ambapo kwa davido walisema wamempa us dollar 1M asa boss wako alipewa sh ngp
 
Back
Top Bottom