chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 871
Hii comment ya ngapi mkuu???Sijui labda nisachi uzi wa kuvuja humu jamii forums,kama hakuna uzi unaonyesha lupela na aje zilivuja basi hakuna namna kwamba nitajua maana kama hawajaweka habari zake humu sina namna nyingine ya kujua.