Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

nyimbo haijakamilika imekatwa katwa sana subirin OG nyiee kitu kimesimama ileile
 
haahahaaha humu kuna watu wana matatizo ya kisaikolojia...

they need urgent help.....

heaven doctor
 
Ameharibu WAP acheni wivu Wa kishamba,ngoma Kali sana,mond unatisha baba.
 
nyimbo haijakamilika imekatwa katwa sana subirin OG nyiee kitu kimesimama ileile
ni kweli nyimbo ni kali japo mapungufu yake niliyoyaona yapo kwenye sauti kumbwa ya vombo (instrumental balance)
 
Huu wimbo mkali sana, sema aliouweka hapo juu ameurikodi na simu kutoka kwenye radio, ndo mana umekuwa na sauti kwa mbali
 
Huu wimbo mkali sana, sema aliouweka hapo juu ameurikodi na simu kutoka kwenye radio, ndo mana umekuwa na sauti kwa mbali
Wanigeria wamechukua copy isi halisi.. tusubiri original. Africa itasimama.
 
nimesikiliza My Heart kama mara miia hivi. ila hii iliyovuja ni mbovu sana.
 
Neyo kaimba vizuri ingependza angeimba mpaka mwisho tu
 
Kiukweli bora ile nyimbo aliyoshirikishwa na Kasper Nyovest ni nzuri kuliko hii
 
Kwan cku hiz mond ndio anaishiwa mashair au ni nin? Sbb eti anaimba "hadith hadith utamu kolea" sasa ndio ukwel mond zama zake ndio znaishia ivyo hii nymbo haipo vzur kabisa
 
Labda mniambie kwa hii nyimbo siyo yenyewe. Kama ndiyo hii dah! Kiukweli hii nyimbo ni mbaya..unapata nafasi ya kuimba na neyo halafu unatoa kitu kama hiki lazima kutakuwa na shida mahali. Halafu kuna watu walisema eti hii ngoma ikitoka USA itasimama kwa muda... Haaaa haaaa....jamani acheni masihara.
 
Acheni iwaingie pole pole
 
Je kajiandae imeishia wapi mbn siisikiii
Naona haujanielewa mkuu. Ni hivi mimi sina team kwanza. Halafu kama wimbo sio mzuri lazima niseme sipendi unafiki. Kajiandae, kidogo na huu wa diamond feat neyo zote hakuna kitu. Zinahitaji team zilizojaa unafiki ili zipate KICK ila ukweli unabaki pale pale nyimbo ni mbaya.

Sent from my HTC Desire 816 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom