- Thread starter
- #21
Imepenya imooooooooooo naona unahangaika nayo tuHEBU TAFUTENI WA ALIKIBA NA NEYO ULIVYOMTAMU ULE WA COKE STUDIO
Imepenya imooooooooooo naona unahangaika nayo tuHEBU TAFUTENI WA ALIKIBA NA NEYO ULIVYOMTAMU ULE WA COKE STUDIO
wabongo bhana ngoma ndio imetoka umeshajaji vibaya! hata salome mlisema hivo!Nyimbo mbovu kishenzi,kaangukia pua vibaya sana nilichojifunza ni kuwa domo sasa hv anatoa nyimbo mbovu anaweka pesa ndefu kwenye promo nyimbo inakuwa kubwa but the work is below performance
Tushawazoea ila imooooooooooooo inapeny polepoleNyimbo mbovu kishenzi,kaangukia pua vibaya sana nilichojifunza ni kuwa domo sasa hv anatoa nyimbo mbovu anaweka pesa ndefu kwenye promo nyimbo inakuwa kubwa but the work is below performance
Vipi kuhusu lupela na aje hazikuvuja????Domo Tushamzoea kuvujisha nyimbo zake na kuanza kutoa lawama kutafuta kiki.
mbona unatoa povu! naona inapenya pole poleBEAT ZA MATARUMBETA KILA NYIMBO NA UIMBAJI WA DIAMOND HAUBADIRIKI KWAKWELI AMEMUHARIBIA CV NEYO WA WATU
usihangaike na hawa humu ndani tushawazoea hata kidogo ilivyotoka walisema hivo hivoAcheni majungu Ngoma mbna imesimama sana hii, ngoja tusubiri na Video tuone.
Acha dawa iwaingie.....domo hategemei sony wala nn anapasua anga tu bila international lebalmbona unatoa povu! naona inapenya pole pole
Sijui labda nisachi uzi wa kuvuja humu jamii forums,kama hakuna uzi unaonyesha lupela na aje zilivuja basi hakuna namna kwamba nitajua maana kama hawajaweka habari zake humu sina namna nyingine ya kujua.Vipi kuhusu lupela na aje hazikuvuja????
Usiwe unakurupuka kama umetoka usingizinSijui labda nisachi uzi wa kuvuja humu jamii forums,kama hakuna uzi unaonyesha lupela na aje zilivuja basi hakuna namna kwamba nitajua maana kama hawajaweka habari zake humu sina namna nyingine ya kujua.
Acha dawa iwaingieningeshangaa bila kukuta comment km hii...mbona wimbo mzuri tu tena zaid ya ule wa yule cho.ko na Ali....
hiyo ngoma haija achiwa kwa bahati mbaya kaka,tecnically ni kuuzima ule wimbo wa bwana mahipsi na Ali.Isikilizen na nyie
Tatizo Nyie Mitimu Mavi mnaolipwa kuwapamba wanaumme wenzenu mnataka kusikia vitu mnavyopenda nyinyi tu,Hamtaki kusikia mawazo mbadala.Usiwe unakurupuka kama umetoka usingizin
Ww ndo umeanzisha mm nikamaliza so kama vipi get off meTatizo Nyie Mitimu Mavi mnaolipwa kuwapamba wanaumme wenzenu mnataka kusikia vitu mnavyopenda nyinyi tu,Hamtaki kusikia mawazo mbadala.