Ngoma (wimbo) wa "wembe kupita ule.... ushindi" ni kali balaa, niko hapa nasikiliza, nambari one ni CCM

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
 
Siwakubali majizi ya Ccm ila lile song lao linaloimbwa "Sasa kumekucha , kucha sasa kumekucha , kucha" ni ngoma kali
 
Siwakubali majizi ya Ccm ila lile song lao linaloimbwa "Sasa kumekucha , kucha sasa kumekucha , kucha" ni ngoma kali
Komba aendelee kupumzika kwa amani, ilikuwa kipaji kikubwa
 
Droo ya CAF tayari imeshaanza Azam Sports 1HD. There we go...!
 
Siwakubali majizi ya Ccm ila lile song lao linaloimbwa "Sasa kumekucha , kucha sasa kumekucha , kucha" ni ngoma kali
Ndio wanavyowazubaisha na masongi ukimaliza kusikia kaangalie na deni la taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…