fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 122
- 287
Naomb mstari wowote ukionesha nuhu alifanya Sala?? Na kama alifanya alifanya kwa mungu gani? Je kweny safina ya nuhu nyoka alikuepo kweli? Kama alikuepo kwanini uyo mungu alitka ambebe nyoka muovu??Y wakati wa nuhu walikuwepo pia!/
Msingi wa foundation na nguvu ya sala upo katika kurudia sala mara nyingi zaidi!,+ subira,maana mungu siyo mwanadamu,anaweza kukukinga kwa baya pia kwa sababu maalumu/ yaani akakupa dharura ambayo itakufanya usiondoke hapo ili upone kwenye ajali ile!....
#badala uwe mpole uchote hekima!?.
Unadhan kulikua na sababu gani mungu kuangamiza kizazi kilichoishi wakati wa nuhu, ikiw source ya uovu ni shetan je huoni mungu alipaswa kumuangamiza shetan tangu apo awali mana mara zote wototo wake pendwa wanaingia ktk mauvo sababu yake?
Mfano ww una jibwa umelinunua unalifuga, likamuuma mwanao je utaliua jibwa au utaua mwana?