Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

Usifanye zoezi hili maana tayari imeshashindikana kitambo sana kwa imani yako!...
Kwani kusoma Zaburi ndio kunazuia mtu asitumie akili yake kufanya maandalizi?

Mbinu yako haina mashiko kwenye ulimwengu wa sasa. By the way, imani bila matendo imekufa, sasa wewe unataka watu waende kwenye interview wakiwa empty kisa wamesimama kusoma kwa sauti?
 
Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Na wote mkifanya hivo kweny usail Mungu atamchagua nani?

Locus of control
 
Nakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sana
 
Daudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
Na mtazamo wako huu unaweza kutunga nini hata mtaani kwako au familia yako wakaishi katika hayo, acha kudharau maandiko matakatifu.
 
Nakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sana
Chai
 
Hata wakati wa nuhu walikuwepo pia!/
Msingi wa foundation na nguvu ya sala upo katika kurudia sala mara nyingi zaidi!,+ subira,maana mungu siyo mwanadamu,anaweza kukukinga kwa baya pia kwa sababu maalumu/ yaani akakupa dharura ambayo itakufanya usiondoke hapo ili upone kwenye ajali ile!....
#badala uwe mpole uchote hekima!?.
 
Stor za vijiwe vya kahawa galilaya
 
Daudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
Inaelekea mlikuwa mnaishi na Daudi nyumba moja haya tuambie alikuwa akifanya nini pindi anaandika hiyo zaburi.
 
Nakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sana
Maneno ya Daudi sio Sala, je unaeza kutumia maneno ya mtu mwingine aliyoyasema akiwa na matakwa yake kuyaita Sala?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom