Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
una swali lingine?katavi we simba au yanga?
una swali lingine?katavi we simba au yanga?
Huyu Sunzu katokea wapi?
Ndio namsikia kwa mara ya kwanza
Thanx mkuu kwa info!mzambia katokea Al Hilal ya Sudan
mapumziko mkuu<font color="#4b0082"><span style="font-family: century gothic">dakika ya ngapi waungwana?</span></font>
Na blazameni wa Bagamoyo.Yaani sijui tumerogwa na nani?
<br />Yanga leo tunawachapa vitatu tu kimyAaaaa Cdm iko juu
Nasikia Simba wanataka waende Bungeni na wao baada ya mechi ya leo . . . . . hahahahahahah
monde ni nini..hapa nimeagiza kiti na bia bariiidi..hao ndio Simba bwana! Hawavizii kibao kimoja cha kichooovu! Leo lazima mtie aibu yanga! Brother crashwise karibu tusherekee kwa kula monde za baridiiii!