'Ngabu nina mimba'

[QUOTE="Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.
"[/QUOTE]

Pole sana aisee
Mimi hivi Vikondom vilishanishinda kwa kweli, maana hakuna siku niliyokutumia kikaacha kubast, wengine wananniambia uwa navaa vibaya, yaani ata km Kule mbele ukikaachia nafasi ya kutosha katapasuka tu, bahati yangu sijawahi kushikishwa mimba.
 
Anaeshiriki tendo la ndoa na mpumbavu tumuite nani?
 
Huyo alikuwa anakutania kama angekuwa anakubambika asingekuja baada ya siku tano
 
Basi kwa tabia ya malaya wa kibongo,mwenye mimba anaikataa anamtundika fala f'lani,katoto kakikua anajipeleka kwa mtu huyohuyo halafu eti"UNAJUA WE TUMBILI ILE MIMBA NI YAKO KABISA,NIMEMPA TU YULE BABA"
Anatega tena anapewa,anapewa tena,arudi kwa fala na bado fala anapata papa kwa masharti.
 
wanawake wengi mahusiano yao huwa ya kubahatisha bahatisha. Utakuta ana list ndefu ya wanaume hata pind atakapopata mimba wengine hawajui baba wa mtoto kifuatacho hapo anaangalia mweny uhakika wa maisha tu kwahiyo ukijilengesha tu imekula kwako unaanza kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.
Ila mkuu huenda ni damu yako kwahiyo DNA ihusike.
Kuikubali mimba ya mwanamke mwenye wanaume wengi inahitaji uwe na roho ngumu km ya paka. Ni sawa sawa na kutembea uchi mtaan
 
USA umekosa videmu vikali, hadi ukaparamia mitoto ya CBE...au uko USA ( ya Usa River Arusha)?
 

Kuna Mzungu mmoja tulikua kwenye project, sasa changu akakosea njia akamsingizia eti ana mimba, kumbe jamaa alishaweka maamuzi kitambo kwamba hataki watoto, akaenda hospital akafanya yake. Binti alivyokuja na habari za ujauzito jamaa alicheka sana akamuuliza una uhakika? Binti kwa mikogo yote akasema ana ujauzito wa huyo mzungu. Ndio jamaa kufunguka imekuwaje hilo jambo wakati yeye hawezi kumpatia mtu ujauzito? Akasema isiwe tabu, waende hospital kupima kama jamaa anauwezo wa kumpa mtu ujauzito, Changu ilibidi awe mpole na aliona aibu sana. Mzungu alifoka sana alaf mbele ya kadamnasi sasa wala hafichi kitu.
 
USA umekosa videmu vikali, hadi ukaparamia mitoto ya CBE...au uko USA ( ya Usa River Arusha)?

Hajakosa, anatimiza kampeni moja matata sana, inaitwa ntawagonga. Kwa mwendo huu hadi amalize huo mpango, vidole vya kuhesabu watoto vitaisha🙂🙂
 
Lakini si mlifanya????!ilikua kavu kavu???? Ukamwaga humohumo ndani???? au ulimwaga nje???? Au mdomoni???? Au kwenye butts ??
Ha ha ha wewe umenifuraisha sana inaelekea wewe ni fundi sana kwenye mambo yetu yale
 
Siku 5 mimba inagundulika. Ni hivi: huyo alikutegeshea, alijijua kesho yake ataanza PERIOD hivyo baada ya kukaa siku 4 bila bleeding hapo hakuna kingine isipokua mimba.
Narudia: Siku 5 mimba inagundulika
 
Hivi nawe una matatizo gani? Mtu keshakwambia hilo jina si lake unachokazana nacho kitu gani au unamtaka? Watu wengine mkoje.
Acha bangi kijana, mbona jina hilo linaonekana likijichanganya na ngabu kwenye baadhi ya thread hasa anaponukuu unakukuta jina la mugizi ila ukiangalia original post ni ngabu, au unadhani nimeambiwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…