'Ngabu nina mimba'

'Ngabu nina mimba'

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,103
Reaction score
136,758
Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!

Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.

Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.

Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.

Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.

Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?

Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!

Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?

Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?

Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.

Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?

Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.

FOH!
 
Hongera Baba Mtarajiwa ndom ilipasuka kutokana na pace isiyo ya kawaida, jiandae kulea ila DNA inakuhusu wasije wakakubambikia bure si unawajua Wabongo!? USA baby!!!! 🙂🙂🙂

Kundi la wanaotaka watoto wao wawajue baba zao na wapate matunzo wanayostahili, USA Baby!!!

Hapo DNA testing inahusu kabisa.
 
mimba ya mama tu baba anazawadiwa
kuna mademu wakipata mimba wanachagua mtu mwenye uhakika wa maisha kisha unasukumiziwa zigo

Umeona eeh....huyu atakuwa keshapima upepo akaona hapa kwa Ngabu ndo pa kutokea.

Sidanganyiki!
 
ndo ujifunze kipindi unamgegeda hukujipanga kuwa jambo kama hilo litakuja kujitokeza...?
 
Kama ana mimba yako kwa nini hakuikataa wakati unampa mpaka baada ya siku 5 ndo aje kukuambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom