Ngabu akutana na Michelle uwanja wa ndege

Ngabu akutana na Michelle uwanja wa ndege

Hump day is Wednesday.....It's called hump day as it is at the middle of a week, ain't it sure?

Hahaa..Google to the rescue huh?

So if hump day is Wednesday and you said you "never have hump day", you clearly didn't know what it means😀.
 
Michele B...!! Unamaanisha Michelle Obama....amekuchekesha nini maana naona na picha ya Obama...mbavu zimembana....[emoji23][emoji2][emoji2]tetehteeh..tucheke wote..
 
... yo..yo...yeah...ooh no...no...naleta za Lema, maana naona mmeanza kuleta UDHUNGU.....
 
Haya, tuendelee.

Kwa hiyo nikakutana na Michelle B. Mdada wa kimo cha wastani kwa mwanamke, 5 '4 hivi na mwenye mwili kidogo.

Ni mwenye rangi ya caramel hivi [sijui caramel inaitwaje kwa Kiswahili]. Mcheshi sana na mwenye bashasha tele.

Ameolewa na ni mama mwenye watoto watatu. Kazi yake ni seamstress na anaifanyia toka nyumbani. Mumewe ni car salesman.

Sasa katika kupiga naye stori, sijui hata likaingiaje kwenye mazungumzo, suala la ndoa yake likawa moja ya vitu tulivyoviongelea.

Yeye na mumewe wako kwenye mwaka wa 13 wa ndoa yao lakini 'Chelle anasema keshamchoka huyo mumewe.

Anaona hata kinyaa kushikwa naye achilia mbali kushiriki naye lile tendo tamu. Kwa mujibu wake wanalala vyumba tofauti unaenda mwaka sasa.

Yaani anahisi akiguswa tu na huyo mumewe eti anaweza pata gonjwa ambukizi.
 
dooh, ikifika stage hiyo ni hatari sana. Ndoa inaexist for the sake of other things but love.
 
Michelle akaendelea kunisimulia kuhusu ndoa yake.

Akasema mumewe ameshachepuka sana. Keshachepuka hadi akafikia hatua ya kuuingiza moja ya mchepuko wake ndani ya nyumba yao pindi Michelle ambapo alikuwa kasafiri.

Akaendelea kusema kuchepuka huko kumemsukuma na yeye kutafuta mchepuko wake.
 
Hahaa..Google to the rescue huh?

So if hump day is Wednesday and you said you "never have hump day", you clearly didn't know what it means😀.
It seems you are using your bum as a thinking machine, no wonder your proposition is blind.... I didn't google it,...I have been knowing its meaning for so long by now..... Saying I never have hump day doesn't mean it's not existing....Week days and thier names are meaningless to Me.
 
It seems you are using your bum as a thinking machine, no wonder your proposition is blind.... I didn't google it,...I have been knowing its meaning for so long by now..... Saying I never have hump day doesn't mean it's not existing....Week days and thier names are meaningless to Me.

Liar!

You didn't know what it meant.
 
Endelea na Stori Ngabu, mbona blah blah nyingi. Yaani nyie mnaojiita USA babby ni shida.
 
Kusema ukweli siku ya leo imeisha vizuri sana.

Huyo mdada, Michelle B, kanichekesha mno leo.

Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana kama nilivyocheka leo.

Michelle mwenyewe ni mke wa mtu. Amekuwepo kwenye ndoa miaka 13 sasa lakini amekuwa pamoja na huyo mumewe kwa miaka 18 sasa.

Kwenye ndoa kuna visa! Hahahaaa....daaah.

Nitaendelea....
Nyani Ngabu
Nilivyoelewa....say walianza kuishi mwaka 1998 kama Mke na Mume bila ndoa,baada ya miaka 5 yaani Mwaka 2003 wakaamua kufunga Ndoa,hivyo wameishi miaka 18 kama Mke na Mume toka 1998-2016,na wameishi kwenye Ndoa Miaka 13 yaani baada ya miaka 5 ya kuishi pamoja wakafunga Ndoa.
 
You are right Vixen Queen of the jungle .... You should compete with your Dad on that poultry piece of*******......Cursed is the one who discovered Oedipus Complex.
enough plz. sorry lakini. usijibu tena nakuomba.
 
Et akapata gonjwa ambukizi hebu endeleaaa
 
Back
Top Bottom